NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,898
ha ha ha sikuwahi kuona padri mbabe mgoni na mjinga kama yule.Liligeuka kama duka lake
Yani alikuwa kama lusekelo ama gwajima
Ilikuwa Mali binafsi ya amani
Kumbe hakujua alikuwa anachunguzwa
Uchunguzi ulipokamilika akatupwa huko
Saiv nasikia kazeeka kachoka hana hata kitu maskin