Muulize mbona wao kule kanda ya Ziwa wanavua mpaka vitoto vya dagaaNi kweli, binadamu sie wabinafsi sana..
Kuna wengine wanatoka Marekani na vijiviwalo lakini hata kuachia ndugu zake hapa bongo pindi anarudi hawezi, anarudi nazo zote Marekani..
Unamwacha wapi Elitira Mengi kwenye hiyo listHawa wote mliowataja ni wa miaka hii tuu. HapoKale walikuepo kina :Kisinani tarimo, Natanaeli Matowo, Paul Kyauka, Aikael Mbowe, Alexanda Itaeli, ,Phillips Sharra Olotu ,Elimonysa Kimei ,Kidumbuyo, Tarawia, A slam Garage.
Japokuwa sasa hivi anayumba sanailikua zamani kidogo..kwa sasa ibra yuko vizuri zaidi
Wapo wengi tuu,japokuwa sasa hivi sifahamu nani anaesimamia baada ya yule mwingine alipofariki mwaka juzi kwa kugongwa na gari.Hivi vijana wa mzee mberesero wenye gari road ni wangapi?
Kuna mtu kaniambia hadi Kapricon ni dynasty za familia yao
Tena sana na hakuna kificho kwa hiloIla tuhuma za ushirikina kwa akina shayo zinazungumzwa sana.
Ving'ombe vyao ni bosheni,kuna Dada aliitwa kanini ni ndugu na Sofia mkewe abuu aliungua na draya kwenye saluni ya Sofia ikawa moja kwa moja kwa mungu.wao in mtoto was ma mkubwa na mdogo.Tena sana na hakuna kificho kwa hilo
Aise kwa hiyo jamaa katoka mbali eeYes kwa sasa hivi.
Hapo nimezungumzia time hizo kitambo
@Mzigua. Mnyamazie kimya. Nimejaribu kumfuatilia nimeona kuna kitu anataka. BTW mbona wa hivyo ulishakutana nao wengi tu humu ndani Dada!!!halafu member sijui since June sijui July 2018.Unachokitaka wala hutakipata. Sasa naelewa kumbe una kakitu na mie. Wacomment wote mie ndo iwe shobo kama tunajuana aunt? Sishobokei takataka yoyote humu ujue hilo kwanza. Ukianzisha uzi usipotaka watu fulani wacomment weka kabisa sio kutaka ugomvi kwa nguvu.
Nimemaliza.
Asikusingue. Tulivumilia vichambo vya kina fulani. Huyu ushindwe Dada????Wewe sasa umemaliza ukweli yule ndie alimpaisha kwa kujificha mgongoni lake na ndipo alipotoboa.Ibra Shayo amshukuru sana the late Kamanda Chiko.
Dada kuna mtu umempa Password yako?? Huyu siyo wewe Haki!!!Chokochoko kusema nilidhani we ni mwanaume? Acha kutafuta sympathy kwa ugomvi ulioleta mwenyewe. Wapi nimekuandikia vibaya? Wewe si ndo umeanza? Tafuta mjinga mwenzio umtishie akujue we nani. Ujulikane we nani umekua Nyerere au uko kwenye hela? Tunajua watu wenye kazi nao sio watu wanaoleta midomo mirefu wakijibiwa wanalia lia wakati wameyatafuta wenyewe. Mwanakulitafuta mwanakulipata. Usilie ukichokoa mtu akakujibu. Ulitaka uandike shudu zako nikukalie kimya? Kama ambavyo na wewe hunijui usinizoee kiboya mbweha wee
Huu uz umenikumbusha my home town, my school mwereni, na tution kwa mwalimu makoondoo pale majengo
Hahahahaha,ilikuwaje Mkuu. Hana Elimu ya darasani yule,ila ana Elimu ya Kitaa
Mimi nilisoma majengo primary zama hizo.Huu uz umenikumbusha my home town, my school mwereni, na tution kwa mwalimu makoondoo pale majengo
Ibra ilifikia kipindi mpaka Polisi wanamuogopa na alikuwa nawapiga vibao na kuwatukana matusi hadharani.Wewe sasa umemaliza ukweli yule ndie alimpaisha kwa kujificha mgongoni lake na ndipo alipotoboa.
Mama devosheni.... Malaya mstafu.. Utajiri wake ulitokana na kuuza nyuchi.Mushisa Store
Moshi Drapers
Mama Daruweshi
Halafu kuna mama alikua na guest nying sana mitaa ya Dar city nimemsahau
Umenikumbusha mbali mkuu.Muulize mbona wao kule kanda ya Ziwa wanavua mpaka vitoto vya dagaa
Mwenye machame safari unamjua??Ibra ilifikia kipindi mpaka Polisi wanamuogopa na alikuwa nawapiga vibao na kuwatukana matusi hadharani.
Ile ilikuwa moshi mbaya na chafu kupata kutokea,majambazi walitamba sana na ndipo kipindi wakina TD walipoteza maisha.kwa tuliokaa kwa mtei kwa arobo pale watu walikuwa wanafunga kitaa hadi dakika karibu thelathini.Ibra ilifikia kipindi mpaka Polisi wanamuogopa na alikuwa nawapiga vibao na kuwatukana matusi hadharani.
Hahahahaaaa JamiiForums inafurahisha sanaSasa wewe ulozaliwa na kukulia sehemu ambayo mwanamke anachukuliwa kama chombo cha starehe nakujibu nini?
Tuma matokeo yako ya kidato cha nne kama wewe mwanamke kweli nami ntatuma yangu
Usishindane nami
Pambana na hali yako
Wakati wanakufukua wacheza ngoma and all that nilikuwa darasani
Nimeshika namba moja toka primary hadi chuo kikuu,gpa yangu huna na kamwe hata urudi darasani Huwezi ipata
Remember mimi si mwalimu
Unayoyawaza nishayafanya sana
I repeat stay on your lane