Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Yes wezi wa magari moshi na arusha walikuwa na mtandao
Na ndio haohao walihamia kwenye uwindaj haramu
wakakiona cha moto,ila wengi walienda kwenye madini na mererani ilikuwa sehemu ya kujificha baada ya uhalifu na wizi uliotukuka usisahau hili.
 
mkuu mimi nakaa mahenge morogoro ni mkoa wenye majangili hatari,nazungumza na wewe huku nikikumbuka kilichomtokea kaka yangu hayupo duniani,usichezee game na usichezee jangili hawachekeani hawa.alikamatwa jamaa mmoja na askari wanyama pori akiwa anavua tu samaki.wakamchumia ndizi mbichi kama hamsini na kumlazimisha ale samaki na ndizi zile.mpaka nazungumza na wewe hapa ni taahira toka siku ile.sasa yupo na miaka kama hamsini na alifanywa hivyo akiwa kwenye forty.askari pori sio watu wa mchezo".KIPEPEO WA CHUMA."
Ni wakatili sana,ila yote hiyo ni kutokana na kazi yake maanake jangili naye akimpata anaua kwa hiyo na yeye anakuwa kama yuko vitani
 
wakakiona cha moto,ila wengi walienda kwenye madini na mererani ilikuwa sehemu ya kujificha baada ya uhalifu na wizi uliotukuka usisahau hili.
Kabisa yalikuwa yakiiba yakasalimika
Yanaenda kujificha mbuguni
Halafu baada ya muda mtu anarud moshi anajidai shimo limetema akabahatika kumbe ulikuwa wizi mtupu
 
Old is Gold,hakuna graduation ya shule za girls zingefanyika bila sisi watoto wa Old kua na ratiba na lazima tuhudhurie,ilikua kama sheria,kila alhamis na jumamosi kwenye harusi YMCA pale,
We utakuwa ulikuwa mzee wa totoz
Hahahah
 
wakakiona cha moto,ila wengi walienda kwenye madini na mererani ilikuwa sehemu ya kujificha baada ya uhalifu na wizi uliotukuka usisahau hili.
Mimi kuna bro wangu wa kitambo sana,nikiuliza shule eti kamaliza la saba akaenda kenya kufanya biashara,baadae akaungana na wakenya fulani hivi wakaanzisha kiwanda cha kutengeneza vyombo vya ndani,na vya kufanyia kazi,baadae kila mmoja akawa na hotel yake nzuri tu Arusha ambayo hakosi mil.100 kwa mwezi,maanake kuna muda alikuwa akidaiwa kodi ya mil.60 katika hilo jengo,Ila baada ya hapo naona wakaanza kupukutika mmoja baada ya mwingi,bro tushafukia mgombani huko,Bahati nzuri wachaga hawakosei kwenye kujenga nyumbani hata mara moja imebaki jumba lake tu,Sasa nikawa najiuliza huko kenya kuna nini cha ajabu kumbee..
 
Ni mwendo wa shaba na kuiba basi.utani,wachaga ni kama wanaigeria mkuu.
 
Back
Top Bottom