jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Ana mtoto wake wa like ambaye ni kama “tomboy” kiaina, ila yuko fresh anapambana! Huwa namuona anasimamia kazi za baba yake za construction anazopata contracts. Huwa kampuni yao ikipata tender ya kutengeneza barabara, utamkuta amepaki gari anasimamia kazi. Mzee Kool sana yule.Jamaa alikua mjanja longtime kitambo aisee, anamdogo wake au mwanae alikua anaitwa Ester, sijui alikua na tatizo gani lakini kila mara alikua anapelekwa polisi na kulala mahabusu