The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #601
Achana na hizo storyHalafu sasa hivi anakuja kichaa anasema 'anataka watu waishi kama mashetani'
Tuongelee moshi ya enzi hizo please
Achana na hizo storyHalafu sasa hivi anakuja kichaa anasema 'anataka watu waishi kama mashetani'
Jazia tu banaNimeropoka tuu bahat mbaya
Roger thatAchana na hizo story
Tuongelee moshi ya enzi hizo please
Wengi naona kuna damu za ki mangi (chief).Hawa wote mliowataja ni wa miaka hii tuu. HapoKale walikuepo kina :Kisinani tarimo, Natanaeli Matowo, Paul Kyauka, Aikael Mbowe, Alexanda Itaeli, ,Phillips Sharra Olotu ,Elimonysa Kimei ,Kidumbuyo, Tarawia, A slam Garage.
Watu mna habari za ndani balaa,ndio ni mustafa baunsa fulani asiye na nguvu,patrick ndie alicheza na ukizingatia mali ile ni ya samweli na inasemwa mali ile sio ya td,vipi kashapona lile donda mguuni.
unamaanisha kiboriloni ni nje ya Mo town??Davis hakuwah ishi mo town
Ipo rauSikumbuki imepelekwa wapi nadhani mitaa ya Kiborloni lakini haipo tena pale kwenye compaund ya kanisa kuu la Kristo Mfalme
Umenikumbusha mbali mkuu.Watu mna habari za ndani balaa,
Mzee TD maarufu kwa mtei
TD alifarik nadhan 2005 alipigwa risasi na vijana wa kazi
Alikua na mabasi ya confort yanakwenda mombasa,kitobo kabla ya kuzidiwa nguv na mhamiko akiwa layland CD na Lang'ata jino moja mswaki wa nini
Kuna issue nyingine ukifunguka humu watu wanaweza juu kabisa aliyeko behind the keyboard.Nimeropoka tuu bahat mbaya
Ok ila si anaishi daslam miaka nenda rudi ama?unamaanisha kiboriloni ni nje ya Mo town??
Hahahah wanakimbiza kwenye nn?Umenikumbusha mbali mkuu.
Kwa heshima ya mzee Lang'ata kuna mtaa wake kabisa pembeni ya uwanja wa majengo.
Vijana wa mzee Lang'ata nao wanakimbiza sa hivi
Hahaha usiogope wengi hawapo Jf banaKuna issue nyingine ukifunguka humu watu wanaweza juu kabisa aliyeko behind the keyboard.
Jamani mie nimesema hayoMtoa posti hana jipya anataka kuharibu sifa nzuri ya watu wa Moshi, kwetu pia kuna watu matajiri ila pia wao walipitia njia haramu. Mfano Igurusi Mbeya n.k. hakuna community yenye watu wote wema, ila watu wa Moshi ni wachapa kazi na wenye dedication kwa wanachokifanya. Hatuwezi kuwafikia kama nasi hatutafanya kama wao kuheshimu kinachokupatia kipato.
Huwezi kujilinganisha nao, wapo sector zote, intelectuals, hadi kazi za chini ambazo sisi tunaona hazifai na wanatokea hapohapo. Ni udhubutu, dedication and focus.Hahahah wanakimbiza kwenye nn?
Usafirishaj?gerej?maduka?
Sijajilinganisha naoHuwezi kujilinganisha nao, wapo sector zote, intelectuals, hadi kazi za chini ambazo sisi tunaona hazifai na wanatokea hapohapo. Ni udhubutu, dedication and focus.
HakulogwaKwahiyo walimloga askofu?
Dini hizi
alale pema msarikie
Hela ndio amezikamatia DSM.Ok ila si anaishi daslam miaka nenda rudi ama?
Sasa kwann agombee moshi mjini?Hela ndio amezikamatia DSM.
Ila before anapajua sana KDC. Vijana wa zamani wanalifaham eneo hilo kwa upekee wake kwenye jambo fulani.
Baada ya hapo alikuja kuwa dereva wa mke wa mtu mzito serikalini then life ndio likabadilika
Chungu?mbuo