Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,563
- 46,511
Dar umenikumbusha kuzamia nusu fainali/send off na fainali/Harusi pale YMCA,tumefanya sana hiyo Biashara.Old is Gold,hakuna graduation ya shule za girls zingefanyika bila sisi watoto wa Old kua na ratiba na lazima tuhudhurie,ilikua kama sheria,kila alhamis na jumamosi kwenye harusi YMCA pale,