Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Kuna yule jamaa wa pale moshi karibu na stendi anayejenga ghorofa kwa awamu na ana mgahawa mkubwa kwa pembeni ni nani? Na buffalo je? Bila kumsahau huyu mwenye Aquline hotel Arusha,wazee wengi wa kichaga waliupatia utajiri kenya,sikujua kenya kuna siri gani ila ndo naanza kung'amua
Hahahahah
Wameua sana tembo wa Kenya
Ila walikuwa wakikamatwa wanatwangwa shaba, maiti inarudishwa moshi
Wameihujumu sana tsavo
Si wote lakin
 
Ok mmewazoea kina mzigua kutwa story za mapenz?hahahahah
usingetaja jina ingependeza na umekosea sana kumtaja Mzigua90 huyu ananogesha tu jukwaa but yuko njema sana, kuna wapo wachache sana wanafanya vizuri, lakini wale wanaojifanya makungwi wengi wao ni zero brain kwenye ulimwengu wa uchumi, zaidi ya kupanua mapaja ili wapate za kusugulia kucha na kujirusha.
wanatembea na maduka yao..wao wanasema
 
Kwa sasa hakuna tajiri wala maskini,wote tunaisoma namba,wale walizoea kupiga madili yao kwa kushirikiana na watu wa TRA,mambo ni magumu mbayaaaa,biashara haziendi,huko kwenye mabenki watu wanakimbia kama wezi,maisha yamebadilika,ulichonacho kwa sasa ndicho hicho hicho,kichunge.
Sana tu
Mzee amejua kutunyoosha
Tunaisoma namba kirumi hahahah
 
usingetaja jina ingependeza, kuna wapo wachache sana wanafanya vizuri, lakini wale wanaojifanya makungwi wengi wao ni zero brain kwenye ulimwengu wa uchumi, zaidi ya kupanua mapaja ili wapate za kusugulia kucha na kujirusha.
wanatembea na maduka yao..wao wanasema
Hahahah lakin si tumepewa bure?
Hata mwalimu alisema uchumi tumeukalia
Hahahha
 
Hahahah lakin si tumepewa bure?
Hata mwalimu alisema uchumi tumeukalia
Hahahha
kila kitu kikizidi ni hatari, hata mimi nakula hiyo kitu tena sana tu but nina kiasi, nina muda wa kazi mkubwa kuliko hilo jukumu, malengo yananitesa kiasi kwamba muda haunitoshi.
lakini ni hatari kuufanya mwili kitega uchumi...dhambi
 
kila kitu kikizidi ni hatari, hata mimi nakula hiyo kitu tena sana tu but nina kiasi, nina muda wa kazi mkubwa kuliko hilo jukumu, malengo yananitesa kiasi kwamba muda haunitoshi.
lakini ni hatari kuufanya mwili kitega uchumi...dhambi
Hahahah waache wauze bana
Labda hawakupata nafac kama ke wengine so huwez jua
Tusiwahukumu
 
usinielewe vibaya, sijamnyooshea kidole mtu bali nimeongelea tabia hiyo kwa ujumla ktk jamii.
na nikutaarifu kuwa hata wenye nafasi zao ni wadau wakubwa ya mambo haya
Exactly
Tuko nao maofisini tunawaona
Labda malez au mazingira I never know
 
JameaE="taamu, post: 28320815, member: 112676"]kuna kipindi alipoteza familia nzima kumbe ilikuwa mwendelezo wa utajiri uliotukuka.usimsahau James Oraa HUYU NASIKIA ALIHASIWA.[/QUOTE]
James Oraa yupo sema kesi ndio zimemfilisi.my father
 
Kawaida mbona because am smart
Mie naandika na kupresent maripot daily huku serikalin
So huwez kuta naandika kama kina nanihii
Nimepikwa nikapikika
Halafu mmezoea watu smart ni me tu
So pathetic
Nimeandika vitabu 5 hadi nagraduate
So it's normal
I know kujipresent
Siandikagi sentensi zenye xoxo kama kina f f f f
Nimevutiwa na wewe...
 
[QUOTMkuu ninhe iron batterfly, post: 28323247, member: 497860"]James Oraa yupo sema kesi ndio zimemfilisi.my father[/QUOTE]Vipi ni mzee wako?sorry kwakuuliza lakin[/QUOTE]
Ndio mkuu ni father kabisa.
 
Back
Top Bottom