Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,516
- 46,377
Yale yale ya Alex Massawe na nyoka wake wakina Papaa Musofe.Recently kabla ya kupata ajali. Alikuwa anakopesha watu pesa, lakini collateral ilikuwa tittle ya kiwanja ama nyumba. Kwa taarifa ni kwamba wengi sana walishindwa kulipa. Na kwahiyo wakapoteza nyumba zao na viwanja vyao. Sometimes magari. Ni ukweli mtupu kuwa kuna watu wanaomchukia sana Babu Sambeke.