Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Lowassa hatutompa kura za kuingia Ikulu, ni zaidi ya shetani.
 
Wameshaenda Kupeleka Feedback Ya Aliyewatuma Kufanya KILICHOFANYIKA Na Si Ajabu Hata Wao Pia Wakamfuata MCHUNGAJI Leo Jioni au Kesho ILI KUMALIZA USHAHIDI Wa Scenario Nzima. Principles Za KIMAFIA Na KIJASUSI Duniani Kote HAZITOFAUTIANI Sana. King Maker Sasa Hivi KATULIA Tu KIMYA Huku AKIDHANI Kazi IMEKWISHA Wakati Kumbe Ndiyo Kwanza WANAMUME Wameamka Na Kuanzia Leo Hadi Tarehe 24 Ni Shuka Kwa Shuka Na Ngozi Kwa Ngozi Campaign Huku Tarehe 7 WATU Wawili MAARUFU Na Wao WAKIANZA KUFAGIA NJIA Na KUCHAFUA Kule KOTE Walikopita WALIOMTANGULIZA Reverend Alfajiri Ya Leo.

Mkuu, nakwambia ukweli, haitasaidia, na Mungu huyu anaenda kuitendea kitu kikubwa Sana hii nchi! Tuombe Uzima tu! Na tuweke akiba ya maneno
 
Yaleyale yaushirikina na uchawi usio na evidence. Usiku mwema ila leo ulale na hili :KAMA UNA USHAHIDI WA KUISAIDIA POLISI UPELEKE POLISI ILI HAKI ITENDEKE.

Mkuu mbona unakimbilia uchawi? Nikiunganishia matukio anayoyatenda kwa kupigia vikundi vyake ni hatari zaidi ya shetani,
 
Lowassa hatutompa kura za kuingia Ikulu, ni zaidi ya shetani.

Bibi kwanza samahani kwa kabari nilizokuwa nakupa..

Sasa tupinge, Lowassa anaenda kushika hii nchi.. Pinga bibi, au dini yako inakataza??
 
Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Muishukuru sana Congo maana ndo inafanya muendelee, we ni mrwanda ila unampigia kampeni Magufuli? Kwa hapo mlipofikia kama kweli ni mrwanda usingemention TUTSI TRIBE. Tuache na tz yetu pia mnyarwanda
 
Kikwete akimpa nchi lowasa na machafu yote haya ya kuwamaliza wapinzani wake wa kisiasa,mungu akuchome moto
 
huyu mchungaji inatiwa mtu adig his past,je amewahi kuwa na uhusiano na na yule askofu wa tanganyika packers?,,,kwanini ilibidi wachukuwe madreva wawili kwa gari dogo kama hilo,tena wote wametafutwa na huyo patrick ,kwanini wamemaza chali marehemu then wakamchukua picha,maana kwa vyovyote ile picha imechukuliwa na hao hao waliokua nae,,,mbona gari imekaa kama imebinuliwa na wala haikuviringika?

kwa hiyo na huyo trafiki kwenye picha alikuwa nao?teh teh!mmekosa dot za kuunga sasa mnalazimisha hadi kwa kuchora na chaki!
 
Muishukuru sana Congo maana ndo inafanya muendelee, we ni mrwanda ila unampigia kampeni Magufuli? Kwa hapo mlipofikia kama kweli ni mrwanda usingemention TUTSI TRIBE. Tuache na tz yetu pia mnyarwanda

Kweli ni myarwanda au ndo anapuguza nguvu issue ya kagame na lowasa,
 
Ndugu watch u a tounge! Sema ambacho unauhakika nacho unless ni kujitafutia matatizo
Huyo yupo safe kabisa,kwa utawala wa ccm kumtukana Lowasa na kuwavunjia heshima wazee unazawadiwa cheo, tunakwenda kuwafundisha adabu tarehe 25 kwenye sanduku la kura.
Mithali 18:18, Kura hukomesha mashindano, hukata maneno ya watawala.
 
Kweli kwa ajali ionekanavyo na maelezo mafupi uliyotoa naungana mkono nawewe kua ajali ichunguzwe kwa kina...

Naona wengi tumejikita ktk kuchambua namna ya ajali zinvyokua na ufaji wa mtu,kwangu hio haina mashiko zaidi..

Ila ukweli uchunguzi wakina ufanywe na kuna majina flani yawatu yametajwa ktk post yako wapatikane hao watu na wahojiwe kwa kina....

Watu tunapodai majeruhi waje wajibu maswali haya kwa haraka inakua ngumu endapo tu watakua wamehusika kinagaubaga na issue kama ulivyojaribu kugusia...

Tumekua tunasema Mtikila alikua hajafunga mkanda.
Kanakwamba tunafahamu uhalisia wa namna gani alitoka ndani ya gari mpaka kulala nje ya gari....

Kwann bricase yake iwe kando yake kanakwamba alikua kaikumbatia miguuuni na kutoka nayo?...

Hoja yako naamin haijalenga kwa mtu flani zaid ila kutaka vyombo husika kuichunguza ajali kwa kina na ikiwezekana watu wapate pc nyingi zaid kwa kuzipitia na kulinganisha aina ya ajali.....

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mkuu uchunguzi wa nini mbona issue inafaamika kazi ya el,tena huyu ni bingwa wa kazi hizo,haukumbuki sumu ya mwakyembe nini?
 
Angesema lowasa ungeshangilia,lakini walipo muusisha kagame na lowasa kwa mtikila umekaa kimia,aya bwana wenye akili zako wanajua,

Bado naendelea kupitia reply mkuu, angalia pages ya yeye alipoiandikia na hizo unazosemea, me bado cjaziona hizo, kwani ni kada mwenzio mkuu:what:
 
Ulitaka ufe wewe? au wewe unajuwa utakufa kifo cha mazigira yapi? kwa akili yako sasa unataka tuanze kutafuta mchawi ?

Tunao mjuwa Mungu tuna amini kifo hupangwa na yeye. Usitushirikishe kwenye ibada na imani za giza.
 
maswali haya yalipaswa pia kuulizwa kwenye tukii lile lililompata mohamed mtoi kule tanga. mungu awaweke mahali panapistahili mchungaji mtikila na mtoi.
 
Mkuu uchunguzi wa nini mbona issue inafaamika kazi ya el,tena huyu ni bingwa wa kazi hizo,haukumbuki sumu ya mwakyembe nini?

mkuu sio vizuri kuleta siasa kwenye mambo yanayohusu uhai wa mtu. kama muhusika unamfahamu kaisaidie polis. kwa hiyo muhusika wa ajali ile ya mtoi ni nani? inaonekana ww mwenzetu unajua michezo hiyo ebu tusaidie....
 
Back
Top Bottom