vunjajungu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 576
- 246
dereva alikua nani?
Something wrong somewhere ukitulia na kufikiri na kutazama kwa jicho la tatu utakiri na Mimi sio ajali ya kawaida., huo ndio ukweli
kumbe wewe mnyaruanda sasa pilipili usioila inakuhusu nini tuachieni tanzania yetu.
![]()
Tusicheze na mambo ya ajali, angalia alipokaa hayati Mtikila seat ya mbele kushoto kwa dereva, hizi imagination jamani tujaribu kusitisha.
Tunatakiwa kila wakati kuwa tayari kupokea mapenzi ya Bwana anapotuita kwake, hakuna binadamu aishiye milele, lazima kila mtu afe na mwili kurudia mavumbi.
Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Msisahau Tz inaongoza kwa kuwa na imani za kishirikina,kila kitu kikitokea kinaletewa hisia na dhana tofauti.
nyie mnaotukana watu wengine eti ni wagonjwa mtatangulia nyie maana mnajiona wenye afya na dhamana ya kuishi kuliko wengine. wanaochechemea wanajua namna ya kutunza afya zao mliojazia miili yenu mkajiona mna haki kuliko wengine shauri yenumkuu huyu jamaa atatumaliza bana...
Na Huyu Huyo Killer King Maker Ndiyo Aliyewatengeneza Akina Dr. Mwakyembe Na Professor Mwandosya Kwa ILE Kitu Ya Tel Aviv Yafo Nchini Israel. ANASIFIKA MNO KWA MICHEZO Hiyo Ya Hatari!
subiri majeruhi wapone ndo watakupa real story ya ajali
Kubali ninyi ni koloni la Tanzania haupo hapa kusaidia.CCM ya mwalimu nyerere sio hii ya sasa ya matusi. naomba tafuta kitabu cha mwalimu hatima ya Tanzania na uongozi wetu usome ndipo utaacha propoganda zako chafu, mwisho wa majibizanoNipo MAALUM Kuwasaidia WATANZANIA Tena Hasa Wana CCM Ili Mgombea Wao AWE RAIS WENU. Rwanda TUNAMUHITAJI MNO Dr. Magufuli ILI Tushirikiane Nae Vizuri Kimaendeleo Kama Tulivyoshirikiana Na Mzee Wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Bado Wana Rwanda TUNATAKA KUJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA CCM Hasa Yale Ya KIMAENDELEO Hasa TUKIAMINI KUWA KIONGOZI WAKE MKUU NA ALIYETUSAIDIA SISI WANYARWANDA HAYATI BABA YENU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Alikuwa Muasisi Wa CHAMA KIZURI NA MFANO WA KUIGWA AFRIKA NA DUNIANI CHA CCM. Na SISI WANYARWANDA TUTAMPA KILA AINA YA USHIRIKIANO Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TUNAMPENDA Mno.