Unatunisha kifua kuhoji ukiwa chini ya uvungu mkuu? Vipi taja hata jina basi.
Unajuaje si Jina Halisi Kama hujui Jina halisi?
Unatunisha kifua kuhoji ukiwa chini ya uvungu mkuu? Vipi taja hata jina basi.
E baaana eeeeehhhh Huu ubuyu wa Dodoma kabisa!Hakufukuzwa, alisimamishwa ili apate Matibabu ya Afya ya akili !
Hapana mkuu, kipindi hicho nilikuwa la kwanza (sio katoke)Hapo Katoke? Yaani ulikuwa unaishi mitaa ya Katoke!
Hawa ndo uwa wanaamini jpili ni siku ya kula wali nyama!!Jumatatu kuna nini?
Not to that extent,so tell him to watch out!!Haya mapya sasa!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hawa ndo uwa wanaamini jpili ni siku ya kula wali nyama!!
Nami natamani kupata background yake ya ukweli kwani naanza kupata za upotoshaji kuwa ALIWAHI KUUGUA MARADHI YA UKICHAAA...(kumbukeni nimesema za upotoshaji wakuu)Katika vitu huwa sivielewi ni kwa nini hatupati mwangwi chanya kwa watu waliokuwa na mkemia kwamba alikuwa ni mtu mwema na Rahimu kabla hajawa hivi alivyo? Historia yake ikoje. Aliofanya nao kazi walikuwa wanamchukuliaje, wanafunzi wake walimpa jina gani la utani na wao walikuwa wanamuona ni mwalimu Bora ama walikuwa wanamuonaje. Somo lake lilipendwa na wanafunzi wake na wao waliwaalika wengine wafundishwe naye?
[emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] fafanua kidogo mkuuHakufukuzwa, alisimamishwa ili apate Matibabu ya Afya ya akili !
Nami natamani kupata background yake ya ukweli kwani naanza kupata za upotoshaji kuwa ALIWAHI KUUGUA MARADHI YA UKICHAAA...(kumbukeni nimesema za upotoshaji wakuu)
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
wazimu labdaUmeeleza Vema sana ni Vigumu sana mtu kufukuzwa Seminari!
Kutokana na kuto kuwepo wanao feli ndio maana kuna firm one hawajui hata kuqndika majina yaoHakuna anayefeli la saba bali hukosa nafasi ya Sekondari na ndiyo maana husema amechaguliwa kujiunga na Sekondari!
Ningependa kutofautiana kidogo na kukubaliana na wewe sehemu nyingine.
Moja Enzi za zamani Watu wengi walipenda kupeleka watoto Shule za seminari kutokana naweledi na nidhamu za hizo shule, Shule za serikali wakati Huo zilikuwa chache saana hivyo ilikuwa unaweza kuwa hukuchaguliwa lakini ulifaulu hivyo ilikuwa kwa mzazi mwenye kujua umuhimu wa elimu kuanza mchakato wa kupata seminari toka mtoto Yupo darasa la tano au sita kwa kupata recommendation toka kwa parokiani yako na kupewa progress report toka Shule ya primary , Shule zingine ambazo zilikuwa ni nzuri au zilihitaji juhudi binafsi za mwanafunzi ni hizi private school ikiwemo lake kwa mza, buluba shy , mzizima, na zile za Moshi ambazo zingine zilikuwa sub standard in terms ya tabia na zingine zilikuwa nzuri kibohehe, kolila kibo boys etc .
Na kubaliana na wewe kuwa kutoka Shule za semenari kunaweza kutokea kutokana na kuto kubaliana na msimamo wa uongozi wa Shule na mwanafunzi etc kwa sababu waalimu wengi wa seminari hawapendi kuwa challenged nina mfano wa mtoto wa ndugu yangu alikuwa seminari moja lakini alipishana na uongozi wa shule akafukuzwa kisa kuulizia fedha za michezo , hivyo mzazi ilibidi akate rufani jimboni na bahati nzuri alipata seminari nyingine kwa vikwazo vingi ikiwemo kwamba anakoenda performance Yao ni juu , ataiharibu etc lakini baada ya hapo yeye alikuwa anafanya vizuri kuliko hao aliowakuta
Na alikuwa anasoma Seminari mkoa wa Kagera ndo maana anajua vijiji na mito ya huko,alipofukuzwa kwa ukilaza wake akawachukia wahaya hadi kesho.Na hiyo si kweli, Seminary kuna vigezo vingi vya kufukuzwa shule si issue ya darasani tu kama ulivyoandika. seminary kuna vikosa vidogo vidogo unaweza kufukuzwa shule pamoja na kuwa issue ya darasani pia ipo. Suala la darasani kuna pass mark, unatakiwa kuwa na asilimia 50 wastani wa masomo yote kwa muhula. Hii inakua majaribio ya kila mwezi kwa kipindi cha muhula wastani wake unajumlishwa na mtihani wa mwisho wa muhula ukigawa kwa mbili kwa kila somo halafu wastani wa kila somo unajumlishwa kwa pamoja na kupata wastani wa jumla. Ukikutwa unavuta bhangi ama sigara inabidi ukatafuta shule nyingine. Ninachoweza kusema tu kuwa labda alikutwa na vimwana na hilo pia ni kosa kubwa hata wakizifuma barua za wasichana ikiwa bahati yako mbaya unafukuzwa.
Middle School Mwanangu !!
Lakini ujue hata kwenda sekondari ya seminari haikuwa rahisi. Mara nyingi waliokuwa wakifahulu seminari walifahulu pia kwenda sekondari za serikali.
Halafu kuacha seminari siyo sababu ya performnace tu ila wakati mwingine kutofautiana mawazo.