Maswali kuhusu elimu ya awali ya Dr. Joseph Magufuli

Hapa hoja vyeti ni vyake au kama bashite?. Hata kama ulisoma miaka 10 primary, 9 secondary ila kama vyeti ni vyako sio big deal. Kuzidisha miaka shule sio kosa kisheria. Mfano mimi binafsi secondary nimepoteza miaka miwili kwa sababu tofauti kabisa na kufeli.

Pia seminary kufukuzwa ni suala la kawaida tena sana. In fact, apart from performance seminary wanaangalia sana nidhamu. Kuvunja tu hata kijikanuni kidogo tu unaweza kufukuzwa shule.
 
Mtahangaika sana lakini Mh.Magufuli atabaki kuwa Rais wa Tanzania na hamuwezi kubadilisha hilo na AKIMALIZA 10 TUNAMUONGEZEA.
 
Ninyi wtt mnatusumbua hum ndani na mabandoko yasiyo na msingi, elim ya mwal ilikuwa inaanzia darasa la kwanza hadi la 8, japo iligawanyika ktk sehem 2. Miaka 4 ya mwanzo na baadae miaka 4..

Kwa hyo ukitoka std 8 unaingia std 9 mpka 12. Leo vijana hawajui kwa nm inaitwa kidato cha nn!!

Magu kasoma madarasa 8...
Uwongo mkubwa. Kipindi hicho hakukuwa na darasa la 8.
 
Kwani darasa la nane lilifutwa mwaka gani? Halafu chukua umri wa mhusika linganisha utapata jibu.
Sina uhakika sana, lakini kwa kufanya reference ya ndugu zangu wawili, mmoja alimaliza darasa la 8 mwaka 1967, na mwingine alimaliza darasa la saba 1970, kwa vyovyote mfumo wa darasa la 8 ulikoma kabla ya 1970.
 
Pombe alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani Biharamulo katika Mkoa wa Kagera.

Alianza elimu ya msingi katika Shule ya msingi Chato mwaka 1967 na kumaliza mwaka 1974. Mwaka 1975 alianza masomo ya sekondari katika Shule ya Seminari ya Katoke Mkoani Kagera. Mwaka 1977 alihamia shule ya sekondari ya Lake iliyopo Mkoani Mwanza na kuhitimu kidato cha Nne mwaka 1978.

Je, kwanini alisoma shule ya msingi miaka 8?
Au kipindi hicho system ya kurudia darasa la nne ilikuwepo?
Na ilikuwaje kuacha seminary na kwenda kumalizia kitaa?

Maneno ya Mh Rais DK Pombe
“Nataka nizungumze hapa hadharani. Unajua pamekuwa na wanasiasa wengine wana maneno. Wanataka tupeleke watu, wakachukue Digrii, mafelia. Sijui kwa sababu wanasiasa hawa ni mafelia?" —
Wewe mbona hauhoji ni kwa nini Baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliruka baadhi ya madarasa na akaendelea na madarasa ya juu kipindi hicho na huyo ndiye tunaye muenzi miaka na miaka?
 
Pombe alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani Biharamulo katika Mkoa wa Kagera.

Alianza elimu ya msingi katika Shule ya msingi Chato mwaka 1967 na kumaliza mwaka 1974. Mwaka 1975 alianza masomo ya sekondari katika Shule ya Seminari ya Katoke Mkoani Kagera. Mwaka 1977 alihamia shule ya sekondari ya Lake iliyopo Mkoani Mwanza na kuhitimu kidato cha Nne mwaka 1978.

Je, kwanini alisoma shule ya msingi miaka 8?
Au kipindi hicho system ya kurudia darasa la nne ilikuwepo?
Na ilikuwaje kuacha seminary na kwenda kumalizia kitaa?

Maneno ya Mh Rais DK Pombe
“Nataka nizungumze hapa hadharani. Unajua pamekuwa na wanasiasa wengine wana maneno. Wanataka tupeleke watu, wakachukue Digrii, mafelia. Sijui kwa sababu wanasiasa hawa ni mafelia?" —
Seminary wako strictly sana mtu kama huyu kumaliza isingewezekana tuendelee kutafuta ukweli.
 
Ninyi wtt mnatusumbua hum ndani na mabandoko yasiyo na msingi, elim ya mwal ilikuwa inaanzia darasa la kwanza hadi la 8, japo iligawanyika ktk sehem 2. Miaka 4 ya mwanzo na baadae miaka 4..

Kwa hyo ukitoka std 8 unaingia std 9 mpka 12. Leo vijana hawajui kwa nm inaitwa kidato cha nn!!

Magu kasoma madarasa 8...
SWALI 1974 ILIKUWEPO HIYO MIDO SKUUL?
 
mleta mada ana hoja ndogo sana na tunaweza kuiita 'hoja ya kitoto' lakini hana budi kujibiwa jibu hilo hilo dogo na la 'kitoto' kama yupo mwenye nalo.
Umejuaje mleta mada ana hoja ya kitoto wakati huna majibu ya hio mada ya kitoto???

Tatizo wewe ndio mwenye kukurupuka na maelezo ya kitoto yasiyo majibu ya utu uzima kwa Mada hii.

Halafu unatuomba sisi tumjibu jibu la kitoto wakati wenye kubaini mada ni ya kitoto ni wewe.
Aaaa banaa acha utoto beba hilo li mzigo wewe mwenyewe.
 
Kweli kabisa mleta maada na wanaobisha wote inaonekana wamezaliwa 2000+, zamani darasa la kwanza walikuwa wanaandikishwa mara baada ya kumaliza la saba kwenye mwezi oktoba hivi. Ila kipindi cha octoba decemba unazoea shule, la kwanza unaanza rasmini mwezi januari. Kwa hiyo ukileta hoja ya miaka na nini ni matatizo tu ya ubongo.
 
Mtahangaika sana lakini Mh.Magufuli atabaki kuwa Rais wa Tanzania na hamuwezi kubadilisha hilo na AKIMALIZA 10 TUNAMUONGEZEA.
Acha kumkufuru Mungu au tutaje ugonjwa wake
 
For real most of the Tanzanians are suffering from what to do.......!

How can a Man waste his time start searching when,how and why somebody did A,B,C and D

Let us go and work,these nonsense are helpless in our real life.

Note my point.
You seem to be facing a strong desease of mind,and section 13 of the penal code may set you free though commiting an offense.
 
Ninyi wtt mnatusumbua hum ndani na mabandoko yasiyo na msingi, elim ya mwal ilikuwa inaanzia darasa la kwanza hadi la 8, japo iligawanyika ktk sehem 2. Miaka 4 ya mwanzo na baadae miaka 4..

Kwa hyo ukitoka std 8 unaingia std 9 mpka 12. Leo vijana hawajui kwa nm inaitwa kidato cha nn!!

Magu kasoma madarasa 8...

Hapa mkuu. Mwaka 1972 darasa la nane lilishaondolewa na hapakuwa na middle schools!. Anza tena!
 
Angalieni kuna vitu sio vya kuchokonoa, si mtulie tu maisha yaende! Vyovyote vile ndio Rais na hakuna kitakachobadilika
 
Back
Top Bottom