Maswali kuhusu elimu ya awali ya Dr. Joseph Magufuli

Maswali kuhusu elimu ya awali ya Dr. Joseph Magufuli

Vijana tulete thread za maana kuliko kufuatilia mtu kupita kiasi, siyo vibaya kuuliza lakini kikawaida ilipaswa ujiulize na kujaribu kujijibu, usiwe mvivu wa kufikiri, kutoka mwaka 1959-1967=8,
Kumbuka kuwa alizaliwa October hivyo ni sawa na kuwa alianza shule akiwa na miaka 7 na miezi 2,
Akamaliza mwaka 1974, elewa hapo kuwa alimaliza akiwa na umri wa miaka 15 na miezi 2,
Mbona leo hii kuna watoto wanamaliza darasa la saba wakiwa na miaka zaidi ya hiyo? Unataka kuleta hoja ya kuwa alifeli hatua fulani kitu ambacho sio kweli.
Je, hapo utahukumu kuwa alichelewa shule,?
LETS BE MORAL AND ETHICAL AGENTS, DOUBTING ON SUCH MINOR CASE IS AN INDICATION OF LOW THINKING AND REASONING CAPACITY.
Sawa, tueleze pia ilikuwaje akatoka Katoke seminari akaenda Lake secondari ya private!
 
Pombe alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani Biharamulo katika Mkoa wa Kagera.

Alianza elimu ya msingi katika Shule ya msingi Chato mwaka 1967 na kumaliza mwaka 1974. Mwaka 1975 alianza masomo ya sekondari katika Shule ya Seminari ya Katoke Mkoani Kagera. Mwaka 1977 alihamia shule ya sekondari ya Lake iliyopo Mkoani Mwanza na kuhitimu kidato cha Nne mwaka 1978.

Je, kwanini alisoma shule ya msingi miaka 8?
Au kipindi hicho system ya kurudia darasa la nne ilikuwepo?
Na ilikuwaje kuacha seminary na kwenda kumalizia kitaa?

Maneno ya Mh Rais DK Pombe
“Nataka nizungumze hapa hadharani. Unajua pamekuwa na wanasiasa wengine wana maneno. Wanataka tupeleke watu, wakachukue Digrii, mafelia. Sijui kwa sababu wanasiasa hawa ni mafelia?" —
Read Tanzania Education Historiography utapata majibu ya maswali yako na in future hutapata shida kuuliza tena
 
Vijana tulete thread za maana kuliko kufuatilia mtu kupita kiasi, siyo vibaya kuuliza lakini kikawaida ilipaswa ujiulize na kujaribu kujijibu, usiwe mvivu wa kufikiri, kutoka mwaka 1959-1967=8,
Kumbuka kuwa alizaliwa October hivyo ni sawa na kuwa alianza shule akiwa na miaka 7 na miezi 2,
Akamaliza mwaka 1974, elewa hapo kuwa alimaliza akiwa na umri wa miaka 15 na miezi 2,
Mbona leo hii kuna watoto wanamaliza darasa la saba wakiwa na miaka zaidi ya hiyo? Unataka kuleta hoja ya kuwa alifeli hatua fulani kitu ambacho sio kweli.
Je, hapo utahukumu kuwa alichelewa shule,?
LETS BE MORAL AND ETHICAL AGENTS, DOUBTING ON SUCH MINOR CASE IS AN INDICATION OF LOW THINKING AND REASONING CAPACITY.
Hoja ya ukweli ujibiwa bila kikwazo chochote tena bila dharau lkn unatakiwa kufahamu yakuwa baba j rais wa tz mkuu tunahitajika kumfahamu kiundani hasa
 
Naona wazee wameshindwa kutupa majibu wamebakia kutukana matusi mara sijui hoja ya kitoto mara sijui ilikuwa hivi mm nafikiri kipindi hicho la nane halikuwepo basi kuna kitu vilevile baba j kutoka seminary hapa napo panashida tena
 
Issue ya kutoka Seminary na kwenda Lake Secondary iko wazi kabisa kwamba SEMINARY wanautaratibu kuwa mtu ambaye performance yake darasani inakuwa poor huwa hawataki kuendelea naye na humfukuza shule mhusika, the same thing happened to MAGU, Baada ya kuwa ametimuliwa ilibidi MZAZI wake amtafutie nafasi pale LAKE Sec ili aendelee na masomo ya SECONDARY. Kipindi hicho most of private schools zilikuwa zinachukuwa wanafunzi waliokosa nafasi kwenye shule za serikali( failures wa mtihani wa Std 7).Kwa hiyo kipindi kile mtu anayesoma private school ni mtu ambaye alifeli Mtihani wa Darasa la Saba ila kwa sasa hivi imekuwa tofauti sana.
Unajua ikingo usijidai kuwa unaelewa sana mfumo wa seminari, sina hakika na elimu yako, lkn kwa tuliyepita seminari tunafaham sababu zipo nyingi sn ambazo zinaweza kukufanya utoke seminari mojawapo ikiwa hiyo ya avarage pass mark lkn kuja hapa nakujidai kuwa sababu iliyomfanya JPM ni kufeli na akalazimika kwenda private ni ufinyu wa kuchambua mambo maana sote tunaelewa kuwa ana shahada ya uzamivu masuala ya chemistry na kama ulisoma o-level chemistry unaelewa ninachomaanisha. Mwacheni JPM afanye kazi watanzania tumemchagua na anatosha
 
Suala la mtu kuhama kutoka shule ya seminary kwenda shule ya private msimhukumu kuwa kufeli ndiko kulikomhamisha. pamoja na kwamba shule hizi za seminary zinazingatia sana ufaulu wa mwanafunzi lakini pia ziko makini sana kwenye swala la mwenendo na tabia ya mwanafunzi, kumbukeni kuwa seminary huwafundisha wanafunzi kwa lengo kuu moja ambalo ni kuwa mwanafunzi aje kulisaidia kanisa.

Kwa hiyo tabia yako pia inaweza kukufukuzisha shule hizi haraka sana. mm mwaka 2008 nikiwa kidato cha pili bihawana seminary dodoma nilifukuzwa shule kwa kosa la kukutwa na simu kwenye tranka langu bwenini, baada ya hapo nilihamia jamhuri high skull dodoma shule ambayo inamilikiwa na BAKWATA, kwa hiyo mtu kuhama shule si kwamba alifeli, ziko na sababu zingne pia.

Magu ni mwanasiasa hatuwezi jua pengine labda alikuwa akionesha element za uanasiasa wakamfukuza, lakini pia pengine labda alihama kwa kupenda yy au wazazi wake waliamua kumhamisha kwa kupenda kwao.
 
Hapana, kwa Mwaka alioanza shule middle school ilikuwa haipo,,mzee wangu aliesoma miaka ya 50 ndo aliesoma kwa system ya miaka 8,niko na mtu alienza shule ya msingi '66,amesoma miaka 7,
Zamani primary school ilikuwa miaka 8. Na ndiyo maana utasikia watu wa zamani form 1 wanaita darasa la 9.
 
Kama umejua hoja ni ya kitoto huku ukiwa hufahamu alichouliza mleta mada maana yake wewe ndiye mwenye hoja ya kitoto, vinginevyo toa sababu ya kwanini hoja ya mleta mada iwe ya kitoto?
tafsida imepitiliza sababu ya woga wa kutumbuliwa mkuu, tunaogopa kuja kukana tulichokiandika kama Mpendazoe!
 
Yeyote ambaye ameshindwa kuvifikia viwango vilivyowekwa vya ufaulu katika shule za seminary, huondolewa. Kwa siku za huko nyuma, ukiondolewa seminary, mahali pekee pa kwenda ilikuwa ni private schools. Ni rahisi sana kupoteza mwaka wakati wa kutafuta shule.
Naskia zamani ukienda private unakuwa hauko vizuri ..,ikimaanisha kuwa waliosoma serikalini Walikuwa vipanga Eti! Kuna ukweli wowote hapa??
 
Au Hiyo sababu ya kwanza uliyoitaja inawezekana pia, sababu zipo nyingi!!

swala la mtu kuhama kutoka shule ya seminary kwenda shule ya private msimhukumu kuwa kufeli ndiko kulikomhamisha. pamoja na kwamba shule hizi za seminary zinazingatia sana ufaulu wa mwanafunzi lakini pia ziko makini sana kwenye swala la mwenendo na tabia ya mwanafunzi, kumbukeni kuwa seminary huwafundisha wanafunzi kwa lengo kuu moja ambalo ni kuwa mwanafunzi aje kulisaidia kanisa. kwa hiyo tabia yako pia inaweza kukufukuzisha shule hizi haraka sana. mm mwaka 2008 nikiwa kidato cha pili bihawana seminary dodoma nilifukuzwa shule kwa kosa la kukutwa na simu kwenye tranka langu bwenini, baada ya hapo nilihamia jamhuri high skull dodoma shule ambayo inamilikiwa na BAKWATA, kwa hiyo mtu kuhama shule si kwamba alifeli, ziko na sababu zingne pia. magu ni mwanasiasa hatuwezi jua pengine labda alikuwa akionesha element za uanasiasa wakamfukuza, lakini pia pengine labda alihama kwa kupenda yy au wazazi wake waliamua kumhamisha kwa kupenda kwao.
 
mleta mada ana hoja ndogo sana na tunaweza kuiita 'hoja ya kitoto' lakini hana budi kujibiwa jibu hilo hilo dogo na la 'kitoto' kama yupo mwenye nalo.
Jibu ninaloweza kumpa ni kungalia matokeo halisi ya Magufuli ya form IV na ya form VI alipata division gani ?? Kwani kuanzia hapo Ndio kuna record nzuri za muhusika . Akisha tupa hayo majibu Ndio tutaweza kuwa na point za ku discuss
 
Hakuna anayefeli la saba bali hukosa nafasi ya Sekondari na ndiyo maana husema amechaguliwa kujiunga na Sekondari!
Wewe ulifeli nini la saba kama le profeseli na ukarudia.kuna nafasi mia mbili na mnagombea watu elfu moja anachukuliwa aliyeongoza mpaka wa miambili walioshindwa wamefeli.lugha hiyo ilikuwa ya kisiasa kama unavyojua mabingwa wa uongo
 
Hauelewi mfumo wa Elimu wa TanZania hivyo funga mdomo!
 
Yeyote ambaye ameshindwa kuvifikia viwango vilivyowekwa vya ufaulu katika shule za seminary, huondolewa. Kwa siku za huko nyuma, ukiondolewa seminary, mahali pekee pa kwenda ilikuwa ni private schools. Ni rahisi sana kupoteza mwaka wakati wa kutafuta shule.
usikalili kuwa kila anayehama shule alifeli, wengine huhama kwa tabia na mienendo yao kutokuendana na sheraa za shule.
Naskia zamani ukienda private unakuwa hauko vizuri ..,ikimaanisha kuwa waliosoma serikalini Walikuwa vipanga Eti! Kuna ukweli wowote hapa??
si kweli mkuu, kumbuka zamani shule za serikali zilikuwa ni chache hivyo kupata nafasi ilikuwa ni inshu hatakama ufaulu wako ulikuwa poa.

Au Hiyo sababu ya kwanza uliyoitaja inawezekana pia, sababu zipo nyingi!!
maybe but not sure
 
Kuna uwezekano jina sio la kwake.Au aliiba mtihani au ukilaza ulimsumbua au ukurupukaji na mwendokasi
 
Back
Top Bottom