Nachelea amini umetumia kichwa(ubongo) kufikiri ulichoandika!..hivo tu!It doesn't matter because hawezi kuwa KilAza. Itakuwa ni aibu ya wanaCCM kuwa na Cheamani KilazA
Hiyo lugha yako unayoisemea ni kwa kipindi cha sasa sio kwa kipindi chao!..Wewe ulifeli nini la saba kama le profeseli na ukarudia.kuna nafasi mia mbili na mnagombea watu elfu moja anachukuliwa aliyeongoza mpaka wa miambili walioshindwa wamefeli.lugha hiyo ilikuwa ya kisiasa kama unavyojua mabingwa wa uongo
Du mkuu, "cowards live longer"! Ndio maana tz death rate iko chini maana wanaishi muda mrefu 😉Umejuaje mleta mada ana hoja ya kitoto wakati huna majibu ya hio mada ya kitoto???
Tatizo wewe ndio mwenye kukurupuka na maelezo ya kitoto yasiyo majibu ya utu uzima kwa Mada hii.
Halafu unatuomba sisi tumjibu jibu la kitoto wakati wenye kubaini mada ni ya kitoto ni wewe.
Aaaa banaa acha utoto beba hilo li mzigo wewe mwenyewe.
SEMINARY wanautaratibu kuwa mtu ambaye performance yake darasani inakuwa poor huwa hawataki kuendelea naye na humfukuza shule mhusika,
Unachokitafuta Utakipata Tu Ndugu Yangu. Ngoja Nikae Zangu Kimya Ninywe Chai na Mke wangu na watoto hapa.Pombe alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani Biharamulo katika Mkoa wa Kagera.
Alianza elimu ya msingi katika Shule ya msingi Chato mwaka 1967 na kumaliza mwaka 1974. Mwaka 1975 alianza masomo ya sekondari katika Shule ya Seminari ya Katoke Mkoani Kagera. Mwaka 1977 alihamia shule ya sekondari ya Lake iliyopo Mkoani Mwanza na kuhitimu kidato cha Nne mwaka 1978.
Je, kwanini alisoma shule ya msingi miaka 8?
Au kipindi hicho system ya kurudia darasa la nne ilikuwepo?
Na ilikuwaje kuacha seminary na kwenda kumalizia kitaa?
Maneno ya Mh Rais DK Pombe
“Nataka nizungumze hapa hadharani. Unajua pamekuwa na wanasiasa wengine wana maneno. Wanataka tupeleke watu, wakachukue Digrii, mafelia. Sijui kwa sababu wanasiasa hawa ni mafelia?" —
Mwaka 1965 kulikuwa na mikoa ya majaribio 4-mmoja wapo ukiwa Mkoa wa Tanga. Tulikuwa watu wa kwanza kufanya mtihani wa darasa la 7 na kuingia Form1 1966 (of course darasa la nane walitutandika sana darasani hiyo haina swali,tulipofika F3 ndio mambo yakawa sawa tukawa tunaushindani). Mikoa mingine nafikiri ilifutiwa mtihani wa Darasa la 8 around 1968 baada ya kuona inawezekana kufuta mwaka mmoja wa elimu (naweza nikawa nimekosea hii ya 1968).Sina uhakika sana, lakini kwa kufanya reference ya ndugu zangu wawili, mmoja alimaliza darasa la 8 mwaka 1967, na mwingine alimaliza darasa la saba 1970, kwa vyovyote mfumo wa darasa la 8 ulikoma kabla ya 1970.
Mkuu wapo watu ambao huwa wanajifanya wajasiri na wajuaji, wanasahau kwamba mwisho wa siku kila mtu husimama as an individual katika kila tunayofanya. Mimi Mada Kama Hizo Sizitaki Kwakweli Maana Ninawaza familia yangu kwanza kwa kila nifanyalo. Sasa Ukiingiza Mikono Kwenye Mashine ni LAZIMA UTASAGIKA TU.sijaelewa maana halisi ya huu uzi ni nini..!!!!
unaweza kuleta shida mkuu em chunguza vizuri thread zako!!!
Mkuu Kuna Watu Kila Kukicha Huenda Sokoni na KUJINUNULIA MATATIZO Badala ya Kununua Chakula Kwa Ajili ya Familia Zao. Mimi Siwezi Ku Post Mada za Kizandiki Kama Hizi, Ni afadhali niitwe muoga, kunguru au kibaraka. Moto Huunguza, Moto HAUJARIBIWI - UKI BEEP UNAKUUNGUZA KWELI KWELI : MWENYE MASIKIO NA ASIKIEMsijitaftie matatizo naona mnapoelekea mnaanza kusema bila utaratibu , magufuli kutolewa seminary haikuwa kwasababu ya performance, sababu naijua Na alikuwa Na Mdogo wake Benjamin mkapa, pale katoke seminary, sababu iliyowatoa si vyema kuisema,
Keep in mind familia ya mkapa Na magufuli hawajakutana barabarani
Labda alifukuzwa kwa kuwatoa maji na siyo ukilaza wake.Na alikuwa anasoma Seminari mkoa wa Kagera ndo maana anajua vijiji na mito ya huko,alipofukuzwa kwa ukilaza wake akawachukia wahaya hadi kesho.