Kama alisoma half Comb pale mkwawa maana yake alifeli.any way Mimi mtu akishakuwa mwalimu tu basi kwa mfumo wa Tanzania maana yake Huyo alifeli,hii ni ngumu kumeza ila ndo ukweli,Mwalimu Tanzania maana yake kufeli,sina hakika kama lecturers nao wanaitwa walimu,nazungumzia mwalimu wa secondarily hadi chekechea
Vijana tulete thread za maana kuliko kufuatilia mtu kupita kiasi, siyo vibaya kuuliza lakini kikawaida ilipaswa ujiulize na kujaribu kujijibu, usiwe mvivu wa kufikiri, kutoka mwaka 1959-1967=8,
Kumbuka kuwa alizaliwa October hivyo ni sawa na kuwa alianza shule akiwa na miaka 7 na miezi 2,
Akamaliza mwaka 1974, elewa hapo kuwa alimaliza akiwa na umri wa miaka 15 na miezi 2,
Mbona leo hii kuna watoto wanamaliza darasa la saba wakiwa na miaka zaidi ya hiyo? Unataka kuleta hoja ya kuwa alifeli hatua fulani kitu ambacho sio kweli.
Je, hapo utahukumu kuwa alichelewa shule,?
LETS BE MORAL AND ETHICAL AGENTS, DOUBTING ON SUCH MINOR CASE IS AN INDICATION OF LOW THINKING AND REASONING CAPACITY.