Maswali kuhusu elimu ya awali ya Dr. Joseph Magufuli

Maswali kuhusu elimu ya awali ya Dr. Joseph Magufuli

Pombe alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani Biharamulo katika Mkoa wa Kagera.

Alianza elimu ya msingi katika Shule ya msingi Chato mwaka 1967 na kumaliza mwaka 1974. Mwaka 1975 alianza masomo ya sekondari katika Shule ya Seminari ya Katoke Mkoani Kagera. Mwaka 1977 alihamia shule ya sekondari ya Lake iliyopo Mkoani Mwanza na kuhitimu kidato cha Nne mwaka 1978.

Je, kwanini alisoma shule ya msingi miaka 8?
Au kipindi hicho system ya kurudia darasa la nne ilikuwepo?
Na ilikuwaje kuacha seminary na kwenda kumalizia kitaa?

Maneno ya Mh Rais DK Pombe
“Nataka nizungumze hapa hadharani. Unajua pamekuwa na wanasiasa wengine wana maneno. Wanataka tupeleke watu, wakachukue Digrii, mafelia. Sijui kwa sababu wanasiasa hawa ni mafelia?" —
Vi vyema mtu mwenye PHD aheshimiwe na wasifu wake usiishie kidato cha nne. Hii nidharau na mngejirekebisha namna ya uandishi
 
Na hiyo si kweli, Seminary kuna vigezo vingi vya kufukuzwa shule si issue ya darasani tu kama ulivyoandika. seminary kuna vikosa vidogo vidogo unaweza kufukuzwa shule pamoja na kuwa issue ya darasani pia ipo. Suala la darasani kuna pass mark, unatakiwa kuwa na asilimia 50 wastani wa masomo yote kwa muhula. Hii inakua majaribio ya kila mwezi kwa kipindi cha muhula wastani wake unajumlishwa na mtihani wa mwisho wa muhula ukigawa kwa mbili kwa kila somo halafu wastani wa kila somo unajumlishwa kwa pamoja na kupata wastani wa jumla. Ukikutwa unavuta bhangi ama sigara inabidi ukatafuta shule nyingine. Ninachoweza kusema tu kuwa labda alikutwa na vimwana na hilo pia ni kosa kubwa hata wakizifuma barua za wasichana ikiwa bahati yako mbaya unafukuzwa.
Mkuu weni hawajui masharti ya Seminary especially enzi zie. Mi namfahamu mtu wa karibu sana ambao darasa lao walikua 26 na laiyepata Upadri ni mmoja tu! Na waliochaguliwa ni Cream. Kwa faida ya wasomaji Seminary hamna mabo ya kufojifoji! Kigezo cha Kwanza ni Akili tena sia akili za mchezo. Ni lazima uwe Very Intelligent/ gifted!
 
Mimi niliwahi kusikia kwamba Mkemia aliugua KICHAA ndio akaondolewa pale Seminary kwenda kutibiwa.
Na bado wala hakupona sawasawa.
Hebu acheni ujinga! Nyie ndio wale kwenye kampeni mkasingizia babab mmoja alishiriki kumuua Kiongozi wa ngazi ya juu ndio maana mpaka mwenyewe akasema yaani kisa Urais. Sasas nyiny mnamsinmgizia kisa Madawa ya kulevya! Labda sijui mngewadanganya nani kwa watanzania! Hampati kitu!
 
Hiyo lugha yako unayoisemea ni kwa kipindi cha sasa sio kwa kipindi chao!..
Kuhusu kuhama seminary kwenda private kufeli sio sababu tosha kuisemea, mimi ni mfano tosha.
Nilisoma seminary fulani ufaulu wao ulikua mkubwa sana lakini niliweza mudu masomo nikaja kufukuzwa shule kwa kutofata misingi/ratiba waitakayo (kuwahi shule wakati wa kufungua, kutumikia misa/kanisa kipindi cha likizo, muda wa kusali na kazi).
so kumuita mtu kilaza kwa kufukuzwa seminary bila jua sababu ni UJUHA!..
Unajua wasiokuwa wakatoliki hawajui how strict Catholic Seminary schools are, tena kwa miaka ile sasa miaka ya nyuma ndio zaidi mi namjua mtu very cloes walikuwa ni mmoja tu kati ya 26 ndie aliyehitimu upadre. Wenghine walifukuzwa kwa kuchuma machungwa shamba la shule ( na wao ndio wanalihudumia- hawakururhusiwa kuchuma hata chungwa moja mpaka wakati maalumu) Wanazusha uongo Hawajui kuwa kuchelewa tu kunaweza kukufukuzisha shule. Wataelewaje wakati wao kuchelewa wanaona ni kitu cha kawaida tena kama maofisini atakujibu bila kupepesa macho Usafiri shida bosi! Hata ukikesha nao hawawezi kukuelewa!
 
Ninyi wtt mnatusumbua hum ndani na mabandoko yasiyo na msingi, elim ya mwal ilikuwa inaanzia darasa la kwanza hadi la 8, japo iligawanyika ktk sehem 2. Miaka 4 ya mwanzo na baadae miaka 4..

Kwa hyo ukitoka std 8 unaingia std 9 mpka 12. Leo vijana hawajui kwa nm inaitwa kidato cha nn!!

Magu kasoma madarasa 8...
Utetezi wa kijinga kabisaaaa!

Darasa la 8 lilikuwa bado lipo huo mwaka 1974? Hebu tuondolee uchuro hapa. Sema labda alipokosa nafasi mwaka 1973 akarudia darasa la 7
 
Mkuu wapo watu ambao huwa wanajifanya wajasiri na wajuaji, wanasahau kwamba mwisho wa siku kila mtu husimama as an individual katika kila tunayofanya. Mimi Mada Kama Hizo Sizitaki Kwakweli Maana Ninawaza familia yangu kwanza kwa kila nifanyalo. Sasa Ukiingiza Mikono Kwenye Mashine ni LAZIMA UTASAGIKA TU.
upo sawa kabisa mkuu...
 
Mkuu weni hawajui masharti ya Seminary especially enzi zie. Mi namfahamu mtu wa karibu sana ambao darasa lao walikua 26 na laiyepata Upadri ni mmoja tu! Na waliochaguliwa ni Cream. Kwa faida ya wasomaji Seminary hamna mabo ya kufojifoji! Kigezo cha Kwanza ni Akili tena sia akili za mchezo. Ni lazima uwe Very Intelligent/ gifted!
Hivi Gwajima alisoma seminari ipi?
 
Ninyi wtt mnatusumbua hum ndani na mabandoko yasiyo na msingi, elim ya mwal ilikuwa inaanzia darasa la kwanza hadi la 8, japo iligawanyika ktk sehem 2. Miaka 4 ya mwanzo na baadae miaka 4..

Kwa hyo ukitoka std 8 unaingia std 9 mpka 12. Leo vijana hawajui kwa nm inaitwa kidato cha nn!!

Magu kasoma madarasa 8...
Darasa la nane liliondolewa mwaka 1966
Somo;; Apunguze dharau kwa wanaorudia eti :vilaza' ili hali naye kapikwa chungu hicho hic ho
 
Vijana tulete thread za maana kuliko kufuatilia mtu kupita kiasi, siyo vibaya kuuliza lakini kikawaida ilipaswa ujiulize na kujaribu kujijibu, usiwe mvivu wa kufikiri, kutoka mwaka 1959-1967=8,
Kumbuka kuwa alizaliwa October hivyo ni sawa na kuwa alianza shule akiwa na miaka 7 na miezi 2,
Akamaliza mwaka 1974, elewa hapo kuwa alimaliza akiwa na umri wa miaka 15 na miezi 2,
Mbona leo hii kuna watoto wanamaliza darasa la saba wakiwa na miaka zaidi ya hiyo? Unataka kuleta hoja ya kuwa alifeli hatua fulani kitu ambacho sio kweli.
Je, hapo utahukumu kuwa alichelewa shule,?
LETS BE MORAL AND ETHICAL AGENTS, DOUBTING ON SUCH MINOR CASE IS AN INDICATION OF LOW THINKING AND REASONING CAPACITY.
Walioanza 1967 walimaliza 1973
 
Hakuna anayefeli la saba bali hukosa nafasi ya Sekondari na ndiyo maana husema amechaguliwa kujiunga na Sekondari!
Kwanini alisoma shule ya msingi miaka 8 , je alifeli darasa la 4 na akarudia darasa ?
 
Hiyo lugha yako unayoisemea ni kwa kipindi cha sasa sio kwa kipindi chao!..
Kuhusu kuhama seminary kwenda private kufeli sio sababu tosha kuisemea, mimi ni mfano tosha.
Nilisoma seminary fulani ufaulu wao ulikua mkubwa sana lakini niliweza mudu masomo nikaja kufukuzwa shule kwa kutofata misingi/ratiba waitakayo (kuwahi shule wakati wa kufungua, kutumikia misa/kanisa kipindi cha likizo, muda wa kusali na kazi).
so kumuita mtu kilaza kwa kufukuzwa seminary bila jua sababu ni UJUHA!..
Kutoheshimu calendar ya shule hasahasa seminary ni utovu wa nidhamu!!!Kama kweli alifukuzwa katoke seminary bila kuwa kilaza basis hakuwa na tabia njema.
 
Ninyi wtt mnatusumbua hum ndani na mabandoko yasiyo na msingi, elim ya mwal ilikuwa inaanzia darasa la kwanza hadi la 8, japo iligawanyika ktk sehem 2. Miaka 4 ya mwanzo na baadae miaka 4..

Kwa hyo ukitoka std 8 unaingia std 9 mpka 12. Leo vijana hawajui kwa nm inaitwa kidato cha nn!!

Magu kasoma madarasa 8...
No you are lost hiyo ilikuwa 60s
 
Issue ya kutoka Seminary na kwenda Lake Secondary iko wazi kabisa kwamba SEMINARY wanautaratibu kuwa mtu ambaye performance yake darasani inakuwa poor huwa hawataki kuendelea naye na humfukuza shule mhusika, the same thing happened to MAGU, Baada ya kuwa ametimuliwa ilibidi MZAZI wake amtafutie nafasi pale LAKE Sec ili aendelee na masomo ya SECONDARY. Kipindi hicho most of private schools zilikuwa zinachukuwa wanafunzi waliokosa nafasi kwenye shule za serikali( failures wa mtihani wa Std 7).Kwa hiyo kipindi kile mtu anayesoma private school ni mtu ambaye alifeli Mtihani wa Darasa la Saba ila kwa sasa hivi imekuwa tofauti sana.
You are absolutely right
 
Ninyi wtt mnatusumbua hum ndani na mabandoko yasiyo na msingi, elim ya mwal ilikuwa inaanzia darasa la kwanza hadi la 8, japo iligawanyika ktk sehem 2. Miaka 4 ya mwanzo na baadae miaka 4..

Kwa hyo ukitoka std 8 unaingia std 9 mpka 12. Leo vijana hawajui kwa nm inaitwa kidato cha nn!!

Magu kasoma madarasa 8...
Magufuli akisoma primary darasa la 8 lilikuwa limeondolewa miaka kadhaa kitambo.
 
Enzi hizo miaka ya 1967 mwaka wa masomo ulikuwa unaanza November na kumalizika Oktoba mwaka unaofuata. Hivyo ni sahihi kwamba alisoma miaka saba shule ya msingi kutoka Novemba 1967 hadi Oktoba 1974.

Waliosoma miaka hiyo wanaweza kuthibitisha hilo.
Huu ni uwongo. Labda ilikuwa ni wilaya yenu tu ikifuata ratiba hiyo.
 
Back
Top Bottom