Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,486
- 2,755
Pombe alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani Biharamulo katika Mkoa wa Kagera.
Alianza elimu ya msingi katika Shule ya msingi Chato mwaka 1967 na kumaliza mwaka 1974. Mwaka 1975 alianza masomo ya sekondari katika Shule ya Seminari ya Katoke Mkoani Kagera. Mwaka 1977 alihamia shule ya sekondari ya Lake iliyopo Mkoani Mwanza na kuhitimu kidato cha Nne mwaka 1978.
Je, kwanini alisoma shule ya msingi miaka 8?
Au kipindi hicho system ya kurudia darasa la nne ilikuwepo?
Na ilikuwaje kuacha seminary na kwenda kumalizia kitaa?
Maneno ya Mh Rais DK Pombe
“Nataka nizungumze hapa hadharani. Unajua pamekuwa na wanasiasa wengine wana maneno. Wanataka tupeleke watu, wakachukue Digrii, mafelia. Sijui kwa sababu wanasiasa hawa ni mafelia?" —