Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Watu mnalalamika sana, tatizo naona ni kutonegotiate bei kabla.
Kabisa, mi kabla sijafanyiwa huduma lazima niulizie bei, ila kuna mambo mengine mpaka uwe mwenyeji ndo unaweza kuyaelewa vinginevyo utafikiri ni ofa, mf anakwambia naona kuna mba kichwani nikuwekee dawa? Au kashakulewesha na scrub anakuuliza kuhusu massage ya kichwa! Ukianza kuitikia tu ujue ishakula kwako
 
hahaha nafanya hivyo every 3 weeks. huwa wananitoa uchovu kishenzi, sema siku izi nimeacha kuogopa ngoma baada ya kupima nikaona sina. wanajiuza hao wanawake balaa, nimelala nao wengi mno mikoa tofautitofauti. wengine kwenye massage kule ndani ni wengi....Mungu anisamehe tu.
Umetubu hongera. Wenzako kutubu ni vitaq
 
Kabisa, mi kabla sijafanyiwa huduma lazima niulizie bei, ila kuna mambo mengine mpaka uwe mwenyeji ndo unaweza kuyaelewa vinginevyo utafikiri ni ofa, mf anakwambia naona kuna mba kichwani nikuwekee dawa? Au kashakulewesha na scrub anakuuliza kuhusu massage ya kichwa! Ukianza kuitikia tu ujue ishakula kwako
Sisi ambao tunadeal sana na wadada wa mjini tunafahamu kuwa kila starehe ina gharama yake, na gharama inapanda kutokana na quality husika. Tushazoea kulipishwa kila mahala so tunajua hakuna vya bure.
 
hahaha nafanya hivyo every 3 weeks. huwa wananitoa uchovu kishenzi, sema siku izi nimeacha kuogopa ngoma baada ya kupima nikaona sina. wanajiuza hao wanawake balaa, nimelala nao wengi mno mikoa tofautitofauti. wengine kwenye massage kule ndani ni wengi....Mungu anisamehe tu.
Achana na habari za Mungu wewe mshukuru shetani kwa kupata huduma pendwa.
 
Kumbe wahanga tupo wengi
Kweli tupo wengi, baada ya kunyoa akasema afanye sijui srub nikakubali sikujua inafanywaje. Akapaka mafuta usoni na machengachenga akaanza kusugua akifika masikioni anaingiza vidole nikawa napandisha mabega kwa msisimko akarudiaakrudia. Akaniuliza baba vipi umezidiwa nikasema kwani nikizidiwa nitapunguziwa akasema ni maelewano. Bei 30k nikawmwambia nakuja kesho. Wallah sijarudia tena ila tu kwa vile alikuwa hana chura.
 
Back
Top Bottom