Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Watu mna roho za ajabu sana.
Wale nao wanatafuta chochote kitu ili waweze kula, kuvaa, kuishi pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili katika maisha. Hivyo kwa vyovyote vile lazima ajitahidi kwa kila hali akubembeleze ili ukubali huduma yake. Kama huipendi si basi, sasa kuja kulalama humu kwanini!!!

Tujifunze kutoa riziki kwa wengine ili na sisi tupate riziki zetu.Si vyema kila jambo kulifikiria negatively.
We upo saluni gani nije umenishawishi tayari ..
 
Wanaboa sana halafu umewahi kuwaza mikono wanayo tumia kukufanyia scrub ndo wanatumia kuoshea papuchi?Toka niwaze hivyo sifanyi tena scrub
Acha ujinga kwani wewe huyo anayekutengenezeaga chips yai akienda haja kubwa anatawadha na nini?
 
Wanaboa sana halafu umewahi kuwaza mikono wanayo tumia kukufanyia scrub ndo wanatumia kuoshea papuchi?Toka niwaze hivyo sifanyi tena scrub
Mkuu lakini hii haina tofauti na wewe unayeshika kwa mikono hiyo hiyo, kipande cha mkate ili kukipaka jam au jibini wakati wa kifungua kinywa.
 
Mkuu lakini hii haina tofauti na wewe unayeshika kwa mikono hiyo hiyo, kipande cha mkate ili kukipaka jam au jibini wakati wa kifungua kinywa.

Tofauti ipo kubwa sana
 
Leo naomba nitoe dukuduku langu,

Wadada wa Saluni za kiume (Barber shops) mnaboa sana. Mtu akishanyolewa wataanza "kaka scrub kidogo" huku anakulegezea macho, mara akushike wakati umeshamwambia kuwa unaosha tu.

Mnaboa kiukweli.
wale wanatafuta pesa kwa hyo lazima wafanye marketing fulani ataisifu scrub weeee,lakini njia rahisi na kiungwana ni kuwaambia hapana asante!
 
28168011_408354972919453_8485880611753993477_n.jpg
 
hahaha nafanya hivyo every 3 weeks. huwa wananitoa uchovu kishenzi, sema siku izi nimeacha kuogopa ngoma baada ya kupima nikaona sina. wanajiuza hao wanawake balaa, nimelala nao wengi mno mikoa tofautitofauti. wengine kwenye massage kule ndani ni wengi....Mungu anisamehe tu.
 
Back
Top Bottom