Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Siku moja nmeenda,
Wife akanisindikiza..Mara tukazama ile special room nifanye scrub, basi dada huyo maswali mengi sana, kujiongelesha kwingi..nikawa sijibu na nikijibu basi ni kwa sauti ya chini maana wife angesikia mazungumzo...hata hivyo alisikia nikiongeleshwa bila kuelewa, she wasn't happy anyway!
 
noma sana mkuu.... full mpapaso, mara achokonoe sikio, mara shingo.... full kujisugulisha na mwil wake, huku ukiwa unamcheki kwenye kioo mkikutana macho unapewa bonge la tabasamu....

kidume unalainika kila ukiulizwa vp tufanye hivi unasema sawa, mara weaving sawa, si ajabu ukiambiwa tukate kichwa ? unaweza jikuta umeitikia sawa.
 
Daah acha tuu... nilipigwa pesa ya nguvu sana, wacha iwe siri yangu mkuu. Hata kudai nilishindwa nilipo toka mlangoni nikasema siingii tena ile saluni. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji5][emoji5]
Ila wale wadada ni noma.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu ulipigwa sh ngapi
 
mkuu nishatubu kitambo, nimeacha. wana magonjwa rundo hao wadudu, fikiri kama wewe umeenda mteja mmoja amekuvuruga, anapokea wateja wangapi na amelala na wangapi, kwanza ile tu kutumia mikono ileile kusugua kila mtu ni risky mno.
Mh. Sasa hapa unaniogopesha mkuu.
 
noma sana mkuu.... full mpapaso, mara achokonoe sikio, mara shingo.... full kujisugulisha na mwil wake, huku ukiwa unamcheki kwenye kioo mkikutana macho unapewa bonge la tabasamu....

kidume unalainika kila ukiulizwa vp tufanye hivi unasema sawa, mara weaving sawa, si ajabu ukiambiwa tukate kichwa ? unaweza jikuta umeitikia sawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
j

sema ukiwa unawaachia tip, huwa wanakumiliki, siku ingine ukija utasikia wanagombana ati huyo mteja wangu, mara ohhh huyo mchumba wangu na wako serious wanachukiana kabisa. akikusanyakusanya tips na keep change alfu tano tano kwa watu ishirini unafikiri home anarudi na per diem ya shilingi ngapi?
Yah..kweli ulikuwa mteja mtukufu.
Rudi uendelee asee ujue watakuwa wamekumithi
 
Leo tu nimetoka kwenye hyo huduma. Ila hawa watoto wame jaaliwa mikono laini jamani.
Noma sana,utaskia kucha chafu ngoja tuzioshe, mara twende kwenye mvuke. Mh usipokua makini unaacha wallet yote pale.
 
Kumbe wana wivu
Na minuno juu. Nenda na mpenzio ukajionee. Au mwanamke aende akapate hizo huduma aone. Hata kama ana hela, atajuta. Gharama ni hizo hizo, ila mwanaume atapetiwa petiwa huyo. Mikono inalegezwa utadhani sio ile iliyomhudumia lady kwa kumparua parua
 
Back
Top Bottom