love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,164
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ndo mana majanga yanawakutaYup usiku ndio mda wetu wa kujidai mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ndo mana majanga yanawakutaYup usiku ndio mda wetu wa kujidai mama
Nilishawai kufanyiwa hivyo aliniegemea na maziwa yake huku akipapasa papasa usoni nikajikuta natabasamu na yeye akaongeza manjonjo yakuniweka kati.Kwa kifupi sikuwai rudi tena kwenye hile saloon.Wanatumia mtindo huo kufanya utapeli, maana unaweza kujikuta umechunwa hela nyingi bila kukataa
Naomba link ya huo uzi mkuuHahahahhaaaaaaa
Kuna uzi ulikuwa unaelezea hayo mambo ya Barber shop, watu walifunguka sana jinsi walivyoingizwa mjini bila kujijua
Ngoja niutafute nikiupata nitaleta linkNaomba link ya huo uzi mkuu
Sasa baada ya kufanyiwa yakufanyiwa mwishoni nikaenda chumba cha malipo nikaulizwa ufanya kubwa au ndogo hapo kumbuka nimeoshwa kichwa na uso tu,nikasikia kubwa nikalipa sikuwai rudi tena.Unajikuta umesema ndio.
kwenye malipo ndio hatari hadi unajiuliza hivi ni kweli Mimi nilikubali yote haya
Umakini; Utapeli huu saloon za kiume bongo haukubalikiNaomba link ya huo uzi mkuu
Ujue na kotekoteNgoja nijifunze kunyoa maana wale wadada sio watu wazuri
Wewe hujachomwa na nyonyo kifuani chuchu Zimesimama utafikiri miba ya katani!inatakiwa wakiwa wanakuosha uwe unafikiria misiba na ajali na madeno wala johoo hawezi kuwika
Weka videoHawa kina dada warembo ni noma sana
Wanajitahidi kutoa Huduma balaa ila Mimi huwa nawaogopa maana si kwa Yale mapapaso jamani
Yani anamaliza kukuosha tu jogoo hiloo
Sinaza tena?Hiyo ilinitokea kwenye saloon moja hapo Sinza, dada alianza kuniosha uku akinichombeza mara akaniambia kuna masaji. Nikitaka ngozi to ngozi masaji au ya kawaida.
Nikavutiwa na ngozi to ngozi masaji, nifanyiwa masaji na mzigo nikala.
Kuulizia bili nzima ni 65k, nikasema sitorudia tena kwenda saloon za Sinaza.
Nirushie bandoWeka video
Ina maana hujui kunyoaNgoja nijifunze kunyoa maana wale wadada sio watu wazuri
Acha tu mkuu unaweza toka umechafua boxerHahahahah. Ushawahi kukutana na kasheshe yao???
Kk carba penzi chaliPamoja Boss