hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,389
hahaa halafu walivyokuwa wana akili fupi wanakuchana mpka ndevu ..aiseeeWewe hujachomwa na nyonyo kifuani chuchu Zimesimama utafikiri miba ya katani!
hahaa halafu walivyokuwa wana akili fupi wanakuchana mpka ndevu ..aiseeeWewe hujachomwa na nyonyo kifuani chuchu Zimesimama utafikiri miba ya katani!
hahaa nasubiri jibuIna maana hujui kunyoa
HAHAAA MWAMBIE HUYOOOOO bado hajakutana na hilo balaaa eeehhh kule lazima mwenyewe utoe Pesa hata uliyoificha kwenye docho la jeans ..wanamatata aiseeee hebu usinikumbushe mxiiiiiuuuuuuuYaani kichwani upo hivyo ukiingia sehemu za masaji ukishikwa si utabaka kabisa, maana kule unaweza jikuta umemalizia bajeti yako ya wiki mbili mjini. Wadada wana makusudi wale
HAHAAAA anatak kulipeleka kwenye maonyesho ya biashara saba sabaRungu analo anashindwa kulitumia litaota kutuuu
[emoji23]noma sana mkuu.... full mpapaso, mara achokonoe sikio, mara shingo.... full kujisugulisha na mwil wake, huku ukiwa unamcheki kwenye kioo mkikutana macho unapewa bonge la tabasamu....
kidume unalainika kila ukiulizwa vp tufanye hivi unasema sawa, mara weaving sawa, si ajabu ukiambiwa tukate kichwa ? unaweza jikuta umeitikia sawa.
HahahaNitakuwa namnyoa mume wangu mwenyewe!!
Ushawahi kufanya spa???hao ndio balaaaa ..yaani hao Ni laana lazima upiz mkuu
Hehehee hapo akili zisharudiUnajikuta umesema ndio.
kwenye malipo ndio hatari hadi unajiuliza hivi ni kweli Mimi nilikubali yote haya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ndo mana majanga yanawakuta
HahahaHehehee hapo akili zisharudi
Itakuwa hauko sawa au bado unasumbuliwa na utoto hili siyo jambo la kuongea na kujisifia mbele ya watuhahaha nafanya hivyo every 3 weeks. huwa wananitoa uchovu kishenzi, sema siku izi nimeacha kuogopa ngoma baada ya kupima nikaona sina. wanajiuza hao wanawake balaa, nimelala nao wengi mno mikoa tofautitofauti. wengine kwenye massage kule ndani ni wengi....Mungu anisamehe tu.
Hiyo aio sifa ya ulegendari, ninkutukuza umaskiniMalegendari bado tunanyoa chini ya mti kwa viwembe
hatupati tabu hizo
Tanzania ni nchi masikini we utajiri umepata wapi ?Hiyo aio sifa ya ulegendari, ninkutukuza umaskini