Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

hahaha nafanya hivyo every 3 weeks. huwa wananitoa uchovu kishenzi, sema siku izi nimeacha kuogopa ngoma baada ya kupima nikaona sina. wanajiuza hao wanawake balaa, nimelala nao wengi mno mikoa tofautitofauti. wengine kwenye massage kule ndani ni wengi....Mungu anisamehe tu.
Utaingia motoni ujiandae
 
Ukienda akiwa yuko kwenye hiyo staili kama kwenye picha halafu muda huo anakuwa anakuangalia kwenye kioo, wewe kutokana na zero distance ya kichwa na nyonyo zake lazima 4G inaenze kusearch akikuona kwenye kioo uko kwenye hiyo hali atakuambiwa umezidiwa, hahahahhhaaaa. Hapo uzalendo hutaufikiria jibu ni kusema ndio na balaa linaanza moja kwa moja
 
Daah acha tuu... nilipigwa pesa ya nguvu sana, wacha iwe siri yangu mkuu. Hata kudai nilishindwa nilipo toka mlangoni nikasema siingii tena ile saluni. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji5][emoji5]
Ila wale wadada ni noma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukienda akiwa yuko kwenye hiyo staili kama kwenye picha halafu muda huo anakuwa anakuangalia kwenye kioo, wewe kutokana na zero distance ya kichwa na nyonyo zake lazima 4G inaenze kusearch akikuona kwenye kioo uko kwenye hiyo hali atakuambiwa umezidiwa, hahahahhhaaaa. Hapo uzalendo hutaufikiria jibu ni kusema ndio na balaa linaanza moja kwa moja
😀😀😀😀🙂🙂🙂😉😉
 
Utaingia motoni ujiandae
mkuu nishatubu kitambo, nimeacha. wana magonjwa rundo hao wadudu, fikiri kama wewe umeenda mteja mmoja amekuvuruga, anapokea wateja wangapi na amelala na wangapi, kwanza ile tu kutumia mikono ileile kusugua kila mtu ni risky mno.
 
Hahahaahaha, napita sinza nipo na brooo big ,jamaa haijui vizur Dar ,kaingia saloon .

Baada ya Saa moja ,nilisikia tu Sauti zamabishano kuhusu Malipo ..saluni wanataka elfu arobain, jamaa anasema kunyoa kipara ni elfu tatu ..

Sababu ni mtu wa vita nivita ,wakaturuhusu kuondoka , ndani ya gari jamaa ananiambia ,amefika tu baada yakunyolea pala akaja dada akamchukua nakumpeleka chumba kingine , huko ameshikwa kichwa kwakila kiungo yaan anakuambia nusura hata ataman wapigane show palepale.

Ila demu akasema yupo kazini ndo malipo yakawa kwa hiyo bei.

Hawa watu wanaangalia mtu kwanza ,wanapenda sana waume zawatu wenye magari ,utatoa mpaka boxa
 
hahahaha.
 
j
Kumbe wana wivu
sema ukiwa unawaachia tip, huwa wanakumiliki, siku ingine ukija utasikia wanagombana ati huyo mteja wangu, mara ohhh huyo mchumba wangu na wako serious wanachukiana kabisa. akikusanyakusanya tips na keep change alfu tano tano kwa watu ishirini unafikiri home anarudi na per diem ya shilingi ngapi?
 
Unaoshwa nywele huku chuchu zinagusa sikio wale wadada wana hatari
 
Back
Top Bottom