Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
We furahi tu[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
We furahi tu[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani ukienda pale kwa lengo la kunyoa2,unaweza kujikuta washakupaka wanja na analipa hata kama hutaki
Nyie nendeni tuu simnapenda kuguswa guswa na manyonyo mnakandwa WeeeAnakukandakanda wewee uje uende
Muhimu.Na minuno juu. Nenda na mpenzio ukajionee. Au mwanamke aende akapate hizo huduma aone. Hata kama ana hela, atajuta. Gharama ni hizo hizo, ila mwanaume atapetiwa petiwa huyo. Mikono inalegezwa utadhani sio ile iliyomhudumia lady kwa kumparua parua
Mkuu parefu yani dahh 😳[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu ulipigwa sh ngapi
Dah Mungu atupe ujasiri wanaume tunapitia wakati mgumu kwel.kumekua hatar kuliko club na Bar yaan unajkuta unapatwa na huruma ya Upendo maana cyo kwa ulain Wa mikono jaman ooooh Tupendane jaman tuweke mgomoUkienda akiwa yuko kwenye hiyo staili kama kwenye picha halafu muda huo anakuwa anakuangalia kwenye kioo, wewe kutokana na zero distance ya kichwa na nyonyo zake lazima 4G inaenze kusearch akikuona kwenye kioo uko kwenye hiyo hali atakuambiwa umezidiwa, hahahahhhaaaa. Hapo uzalendo hutaufikiria jibu ni kusema ndio na balaa linaanza moja kwa moja
Pole sana mkuuMkuu parefu yani dahh 😳
Ataanzisha timbwili kama lile KansiimeKwanza mwanamke hawezi kukubali ufanyiwe vile
Mkuu 65 elfu au laki sita na 65Hiyo ilinitokea kwenye saloon moja hapo Sinza, dada alianza kuniosha uku akinichombeza mara akaniambia kuna masaji. Nikitaka ngozi to ngozi masaji au ya kawaida.
Nikavutiwa na ngozi to ngozi masaji, nifanyiwa masaji na mzigo nikala.
Kuulizia bili nzima ni 65k, nikasema sitorudia tena kwenda saloon za Sinaza.
Mkuu 65 elfu au laki sita na 65
Asante sana mkuu wangu wa ukweliPole sana mkuu
Ila raha sema mashine[emoji23] [emoji23]Nyie nendeni tuu simnapenda kuguswa guswa na manyonyo mnakandwa Weee
Hao nomaaVP wale wa body SPA??????
Hahahahah. Ushawahi kukutana na kasheshe yao???Hao nomaa
nilikuwepo kule pyongchang 2018 orympic maana mjomba kim alituagiza twende huko lakini mimi nimekwisha rudi pyongyang jana maana huku pyongyang mtandao wa jamii forum ndio upo connected ila nikipewa pammission nirudi seoul nitakujurisha mkuu Kichwa KichafuKamanda kitambo sana ulikuwa unapita kitaa kipi