Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Wanatumia mtindo huo kufanya utapeli, maana unaweza kujikuta umechunwa hela nyingi bila kukataa

Daah acha tuu... nilipigwa pesa ya nguvu sana, wacha iwe siri yangu mkuu. Hata kudai nilishindwa nilipo toka mlangoni nikasema siingii tena ile saluni. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji5][emoji5]
Ila wale wadada ni noma.
 
hahaha nafanya hivyo every 3 weeks. huwa wananitoa uchovu kishenzi, sema siku izi nimeacha kuogopa ngoma baada ya kupima nikaona sina. wanajiuza hao wanawake balaa, nimelala nao wengi mno mikoa tofautitofauti. wengine kwenye massage kule ndani ni wengi....Mungu anisamehe tu.
Pole sana mkuu
 
BORA UMEAMUA KUACHA MKUU... HAWA WADADA WENGI WAO NI MASHINDIKANAA, MAGONJWA NJE NJE!
 
KILA SALUNI UKIINGIA NI UZURI NA WOWOWO TU NDIO WANAVYO!!!
Hahahahhaaaaaaa

Kuna uzi ulikuwa unaelezea hayo mambo ya Barber shop, watu walifunguka sana jinsi walivyoingizwa mjini bila kujijua
 
Daah acha tuu... nilipigwa pesa ya nguvu sana, wacha iwe siri yangu mkuu. Hata kudai nilishindwa nilipo toka mlangoni nikasema siingii tena ile saluni. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji5][emoji5]
Ila wale wadada ni noma.
Hahahahahhaaaa
 
SIO SIRI HAWA WADADA WANAUSHAWISHI MKUBWA SANA... NI NGUMU KURUKA AISEEEE!!
 
uje uende siku moja[emoji126] [emoji126]
Hahahahahaaaa.

Kama wewe ndio utakuwa muhudumu ndio nitaweza kwenda lasivyo siendi na sikubaliani na huu uchochezi wako[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unakosa utamu mkuu, hasa sie wenye sharubu baada ya kushave kuna raha yake.
Nisingepata hizi stori humu kuna siku ningeenda kunyolewa japo mara moja lakini kwa sasa nishajua mambo ya huko na sitaki na sitaweza kwenda hizo saluni
 
Usiogope mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahahahahaaaa.

Kama wewe ndio utakuwa muhudumu ndio nitaweza kwenda lasivyo siendi na sikubaliani na huu uchochezi wako[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mie sihudumii saluni lakini
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Back
Top Bottom