Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
MASSAGE katika saloon ni mtindo wa kusugusugua mwili kwa kuupaka kwanza na dawa maalumu ili kuondoa uchafu na kuufanya mwili uwe safi, pale pale MASK nayo hupakwa usoni kwa lengo la kuinadhifisha sura.

TATIZO SIYO MASSAGE AMA MASK,
Tatizo ni hao wadada kwanza WANAVAA NGUO ZA KUTEGA NA WAKATI MWINGINE ni wazuri sana, mbaya zaidi wakianza kukusuguasugua, mara waguse masikioni tena taraatibu hadi stimu zinapanda na unafumba macho na kausingizi kwa mbali kanasogea.

JAMANI MNATUTEGA na mwisho tunashawishika na tunaamua KUWAOMBA moja kwa moja.
 
Scrub ya uso wakati kichwa kimerest kwenye kifua cha mdada!
inategaje?
 
Usiombe ukakutana na massage pale Kijitonyama, nakumbuka niliwahi kuwapeleka washkaji zangu flani toka nje, ni balaa kuna watoto wazuri usiseme, halafu wamekuvalia night dress, sasa hapo ukiingia room kukandwa piga uwa watakufanyia kila upuuzi mpaka network itakuwa full, mwisho utataka mzigo.

Ukweli kuwa massage ni kisingizo tu lakini yale ni madanguro tu
 
Scrub ya uso wakati kichwa kimerest kwenye kifua cha mdada!
inategaje?

Wee hapo najilaza kabisaa kusikilizia stimu na baada ya hapo nitamuomba aisee.
 
Usiombe ukakutana na masaage pale kijitonyama,nakumbuka niliwahi kuwapeleka washkaji zangu flani toka nje,ni balaa kuna watoto wazuri usiseme,halafu wamekuvalia night dress,sasa hapo ukiingia room kukandwa piga uwa watakufanyia kila upuuzi mpaka network itakuwa full,mwisho utataka mzigo,
Ukweli kuwa massage ni kisingizo tu lakini yale ni madanguro tu

Ni noouma, yaani mpaka network inakata na unamu-love ghafla bidada.
 
Scrub ya uso wakati kichwa kimerest kwenye kifua cha mdada!
inategaje?

Mkuu Sigma,

Kifua cha Mdada umeweka kama tafsida tu. But reality ni kwenye matiti ya mdada. Hapo vidole vyake vinatambaa sikioni taratiiibu na saa zingine hata kukukanda kwenye shingo na kingo zake.

Nenda B2 pale Sinza Mori uone kama hujaacha wekundu wawili bila kujijua. Ila nilichokuja kugundua wale wadada wako after money sana. Unaweza ukamuachia chenji ya kutosha tu na asiseme ahsante, kwamba ashaingiza siku so hana mpango tena na wewe, anasubiri kichwa kingine
 
Last edited by a moderator:
Wanamakusudi sana hawa watu, binafsi sijawahi tembelea MASSAGE PARLOUR hapo Dar lakini facial scrub yaani kila nikienda kutengeneza kichwa lazima nifanye hiyo kitu. Tena hiyo sehemu sharti la kwanza ukiingia hiyo chamber unakutana na wadada watamu hatari watoto weupeee unavuliwa shati kwanza wakati lengo ni facial scrub tu. Usipowaomba namba ya simu baada ya huduma wewe kweli kidume committed.
 
Huku shamba masuala ya massage tunayasoma kwenye mitandao tu. Sisi huku early in da morning begani iko jembe, nyengo na panga iko kwenda shambani 'n late in da afternoon iko kuja jumbani natoka meoga porini huko hapana ruhusu mtu ingine gusagusa mili yangu. Kama nywere nachana menyeve, eee..!!??? baba.
 
Huku shamba masuala ya massage tunayasoma kwenye mitandao tu. Sisi huku early in da morning begani iko jembe, nyengo na panga iko kwenda shambani 'n late in da afternoon iko kuja jumbani natoka meoga porini huko hapana ruhusu mtu ingine gusagusa mili yangu. Kama nywere nachana menyeve, eee..!!??? baba.

Unakosa raha......!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwingine alizidiwa akala mzigo humo humo ofisini bila kufuata vigezo na masharti,chezea warembo wewe!

Duh huyo nahisi alizidiwa mno mpaka network zikakata kabisaaa akaamua kukandamiza mumo humo.
 
Back
Top Bottom