Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Yaani kichwani upo hivyo ukiingia sehemu za masaji ukishikwa si utabaka kabisa, maana kule unaweza jikuta umemalizia bajeti yako ya wiki mbili mjini. Wadada wana makusudi wale
 
mmoja tuligegedana cku hyo hyo, mwingine mpaka leo namgegeda
 
Usipokuwa makini ukawa unaitikia tuuu kama Zombie kila huduma anayokwambia ipo, utaacha laki pale.
 
aiseee barbershop NI majanga aiseee ..mtu unapapaswa shingoni na kupitishwa vidole kwnye masikio lazima usikie mwili kama umepigwa shoti yaani ukiwa mbovu waweza jikuta unaomba mzigo ..
na Masada wengi mnooo huwa wanaliwa nawateja kwaajili hiyo ..mtu akishafnyiwa vile tu anajikuta anatamani ile huduma akafnyiwe ndani wakiwa wawili ...sasa Masada wa saloon cha mtoto balaa lipo kwwa madada wa kufnya massage ni balaaaa
 
Back
Top Bottom