West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
Masikini wana roho mbaya sana, halafu wengi wao wanafikiri wakikuchukia na kukusema ndiyo wanaziba Neema ya Mungu kwako, Wasichojua kuwa wanapokuchukuia wanaziba rizki zao wenyewe. Mungu awape ufahamu.