Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,842
Namaanisha wafanyabiashara wadogo wadogo wasio kuwa na ofisi na wenye viofisi uchwara wote hawatakiwi kubaki mijini inabidi wawe sehemu za vijijini na wilaya za maporini huko kuepuka vibaka na uhuni wa kijinga
Lengo kubwa jingine ni kupendezesha miji, manispaa na majiji yawe masafi yenye mvuto wa viwango vya juu saana. Wananchi waishio mijini wenye nyumba mbovu serikali inunue ijenge NHC kama hawataki watoke Kwa nguvu kama wale wa jangwani
Sehemu yoyote Ile Duniani ndugu zangu mijini ni kwaajili ya watu matajiri tuu, masikini hukaa maporini ili kupata mlo wa hapa na pale nandopanawafaa, nenda China utaona hili, huwezi kukuta masikini anafika mjini unaenda kutafuta nini mjini?