vibali vya ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliko Musa

    Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

    Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani. Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
  2. Taured

    Vibali vya ujenzi kwenye maeneo ya squatter

    Habari Wanasheria mlioko humu, Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji. Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho...
  3. Obimbo

    Jeshi la Zimamoto na Vibali vya Ujenzi

    Asalam Alekum ndugu zangu, Naombeni ufafanuzi juu ya uhisika wa mamlaka ya Jeshi la Zimamoto katika taratibu za uombaji wa kibali cha ujenzi. Nimekuwa nikisimamia ujenzi katika nyumba ya ibada mahala flani lakini watu hawa wamekuwa hawakauki katika eneo hili huku tukipigwa faini juu ya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Masikini wasipewe vibali kujenga mjini. Huchafua miji na vijumba vyao

    Habari Wakuu! Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe. Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau...
  5. D

    Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Habari wataalam, Nataka nijenge nyumba ndogo kwa mjengo wa stail ya ghorofa moja yaani floor moja kwa juu, kutokana taratibu za nchi na vibali vya ujenzi. Naomba kwa anaejua hatua za kufanya ili kupata vibali na gharama za kupata hivo vibali, sitaki kujenga kienyeji nataka kufuata utaratibu...
Back
Top Bottom