Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Narukia tu na sijasoma mabandiko yote.

Kwa msingi wa msamiati huu "Waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba"

...wewe umeenda ukajivua kilemba chako wamekushtukia ni mtu wakuja, umeumbuka sasa umeamua kuwatukana ati wamekushinda Umasikini.

Bora wamekuletea mizengwe.

Umasikini sio wa hela tu, hata fikra.
 
Ukiamua kama unaishi uswahilini kama una kipato cha uhakika inabidi uwe na life skills ambazo nyingi hutofundishwa mazingira yatakufundisha, unaweza ukazaliwa na ukaishi Masaki ila life skills za kuishi uswahilini ukazijua. Kwanza inabidi uwe humble Kwa kuonesha watu kua your career,money,pride and your title doesn't matter and you're like them.

Unafanya mambo yako ya kishua huku unajichanganya kwenye mambo yao kama kununua vitu,chakula na vitu vya kawaida kwenye mtaa wako,uwe na Boda mtaani wa kumtumia. Unawapa habari zako baadhi,unaruhusu watu wakozee Kwa mipaka yako.
Maskini hata ujichanganye nao vipi hawazoeleki. Huzuni yako kwao ndio habari njema.

Maskini hawezi kuacha kukuloga wakati anaona wewe watoto wako maisha umewapita, wanaenda shule Kwa school bus, wana uhakika wa kula milo yote, wanavaa wanachohitaji, unakaa nyumba nzuri wakati wao nyumba za udongo ama wanabanana kwenye nyumba za kupanga.

Kwa hapa dar, maeneo yote ya uzaramoni huwa kuna maskini kiwango kikubwa sana kuishi nao ni kupambana nao kikamilifu.

Mi nimejenga na kuishi uswazi mpaka heshima inakuja mapambano sio ya kitoto. Inafikia hatua unaacha unyonge na kupambana nao Kwa angle zote wanazozijua wao na unawapiga juu chini, usiku mchana, mvua na jua.

Maskini watakerwa hata kuona watoto wako wana afya kuliko wa kwao, hapo watawaroga ili wafe ama wadhohofike
 
Kwahiyo nyumba viwili ulivyojenga uswahilini na gari ndogo ushakuwa tajiri?
 
Ukiamua kama unaishi uswahilini kama una kipato cha uhakika inabidi uwe na life skills ambazo nyingi hutofundishwa mazingira yatakufundisha, unaweza ukazaliwa na ukaishi Masaki ila life skills za kuishi uswahilini ukazijua. Kwanza inabidi uwe humble Kwa kuonesha watu kua your career,money,pride and your title doesn't matter and you're like them.

Unafanya mambo yako ya kishua huku unajichanganya kwenye mambo yao kama kununua vitu,chakula na vitu vya kawaida kwenye mtaa wako,uwe na Boda mtaani wa kumtumia. Unawapa habari zako baadhi,unaruhusu watu wakozee Kwa mipaka yako.
Hili kaka ukilifanya litakusaidia ,uswahilini hawapendi ujisikie uwadharau ,mie nilijenga sehemu kuna wazawa wengi ila nimeweza ishi nao mpaka leo na ukiwatajia mie watu wanakwambia jamaa hana shida hata mtu akizingua huko nakuja naambiwa fulani anasema haya na haya ,na japo mie si mtu wa kuenda vijumba vya watu na nimejenga fansi ila ikitokea shida usiku n.k huwa nakuwa mwepesi kumpeleka mtu hosptal na hata kukesha huko ,au kuvunja shughuli zangu kwa ajili ya dharura za watu ,hii imenisaidia kuishi mioyoni mwao ,na wala sina maringo wala mbwembwe tuko poa ,kuna dada mmoja alihamia hana kitu akaapata hela akaanza dharau kwa watu na majigambo mbona saiv anahaha sana hana anayeongea nae ,huwa nawaambia watu ishi kwa unyenyekevu watu hawachuki maendeleo yako ila wanachukuia tabia zako baada ya kuwa na maendeleo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂 Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
Kama bado hujaolewa tafadhali njoo PM nina kijana wangu pia hana mke ila yeye anajielewa sana.
Karibu kwenye familia yetu.
 
Inawezekana ata hao unaowaona ni maskini hawana mda na wewe unajishtukia tu.
 
Paranoia, inawasumbua watu wengi sana yani unajikuta unahisi kama kuna watu wana kufuatilia na kukuloga kisa vi room vitatu tu na ki passo old fasheni.
 
Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!

Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!

Sina hamu na masikini mmiView attachment 2890746

Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.

Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi
Inaonekana wanajamiiforum wote humu mnaamini uchawi, ishi na watu wote vizur, awe mdogo au mkubwa, kilema au mzma, maskini au tajir, maana hujui kesho yako itakuwaje, na Nan anaweza kuja kukusaidia
 
Inaonekana wanajamiiforum wote humu mnaamini uchawi, ishi na watu wote vizur, awe mdogo au mkubwa, kilema au mzma, maskini au tajir, maana hujui kesho yako itakuwaje, na Nan anaweza kuja kukusaidia
tuliamini mpaka kujifukisha kipindi cha kolona
 
Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!

Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!

Sina hamu na masikini mmiView attachment 2890746

Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.

Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi
Kwani viwanja Mbweni viliisha? Kilichokupeleka kununua kiwanja cha laki sita na nusu chanika ni kipi? 😂😂😀
 
Daah ni kutafuta hela ujenge sehemu ambayo watu hawana Time na mtu aisee Wachimba chumvi au wasaka nyoka wana visa sio vya Dunia hii aisee...
 
Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!

Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!

Sina hamu na masikini mmiView attachment 2890746

Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.

Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Umejenga kwa masikini wanakuchukia, aidha wewe ni masikini mwenzao mwenye roho mbaya au tajiri. Kama tajiri hama huko nenda kwa wenzio hutapata shida.
Hamna tajiri anayenunua kiwanja maeneo yaliopakana na Pugu Road au Kilwa Road kwa dhumuni la makazi. Huko tajiri anaweka Manufacturing na Storage facilities ila maskini ndio wanaweka makazi😂 na huwezi kukwepa kurogwa na kuchezewa huko maana jamii za huko ni typical Swahilians ukiishi mfumo tofauti na wao tu umekwisha😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom