Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
- Thread starter
- #121
Hapa nyumbani mvua zilivoanza kunyesha zimeleta mchanga mtaani!!….
Sasa wiki mbili zimepita nikapata wazo huu mchanga wa bure unaokuja hebu niulusanye kuna siku naweza kuwa na kazi nao kwasababu ujenzi bado unaendelea
Nimesomba majiran wananishangaa na kunicheka!!
He saizi naona kila mtu ameanza kusomba mchanga na waliokua wanacheka !!
Sijui wameona nn[emoji3][emoji3][emoji3]