Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,912
Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!

Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!

Sina hamu na masikini mmi
IMG_3730.jpg



Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.

Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi
 
Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!

Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!

Sina hamu na masikini mmiView attachment 2890746


Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.

Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi
Huko kusini unaambiwa mtu analoga shamba lako la mikorosho wakati yeye hana hata shamba lenye mkorosho mmoja !
 
Hahahaha, uza kajenga sehemu nyingine.

Kuna ndugu yangu alinunua nyuma Tandika kwa Maguruwe katikati ya uswazi alifanyiwa vituko hàki akaamua kuuza nyumba kwa Mpenda na kwenda kujenga Kibaha. Waswahili masikini shida sana
 
😂😂😂 Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
 
Sisi masikini kwanza ni wachawi na maendeleo hatupendi. Mtu akijaribu kufanya maendeleo anakuwa ametudharau na anageuka kuwa adui. Kwanini sasa unafanya fanya maendeleo na umekuta sehemu hamna maendeleo? Unajikuta nani kwa mfano? Lazima tukuroge tu.
 
Maskini mchana hatuna ujanja mchana matajiri mnatuoshea sana na gari zenu na party za hapa na pale kwahiyo ulitaka na usiku tusiwe na ujanja? Yani tutulie tu?
Tulia upelekwe shambani ukalime night kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom