Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

😂😂😂 Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
Jirani ila nawewe mtata sana ni vile hapa kwa mimi jirani yako Mungu yupo vinginevyo ningekoma.
 
Mi naishi bonyokwa, unaona unavyopuyanga shemeji 🤣🤣🤣
Nimekuelewa jinsi unavyoamua kupoteza ili usijulikane location. Hapo nimekubali. Si vzr kuonesha. Ila wee jirani. Ukiiacha barabara iliyoonya unapinda kushoto. Yaani wee nafika home kwako bila google map🤣
 
Sasa unataka nikudanganye?? Mi nikae kigamboni toka lini.?? Mi kwangu bonyokwa na jirani yangu ni Half american sasa ww uko kigamboni ndio nakushangaa 😂😂😂
 
Mimi kitu cha kwanza nikitaka Kununua eneo naangalia majirani,sehemu kwenye nyumba mbavu za mbwa sijengi ata nipewe bure eneo hilo na kuna baadhi ya makabila nikiyakuta kama majirani zangu sinunui kamwe🤨
Mkuu nidokeze kidogo na sisi ni aina ya kabila gani hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom