Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Hiyo picha inaonesha matokeo (effect) ya kuvaa hereni. Matokeo yenyewe ni kulia na kutoa machozi mengi kama mwanamama!!Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!
Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!
Sina hamu na masikini mmiView attachment 2890746
Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.
Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi