Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Kuna matajiri pia wanawinda na kutembelea nyota za watu
IMG-20240202-WA0006.jpg
 
Bora mimi sio tajiri ila siufagilii umasikini kiwanja cha kwanza jirani wangu 1 doctor mkubwa tu mwingine mwalim mkuu sekondar mbele barabara nyuma jamaa anabiashara ya vifaa vya ujenzi na wote wamejenga uzio nishajengewa uzio yaani nishajengewa uzio pande 2

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom