Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Ukiamua kama unaishi uswahilini kama una kipato cha uhakika inabidi uwe na life skills ambazo nyingi hutofundishwa mazingira yatakufundisha, unaweza ukazaliwa na ukaishi Masaki ila life skills za kuishi uswahilini ukazijua. Kwanza inabidi uwe humble Kwa kuonesha watu kua your career,money,pride and your title doesn't matter and you're like them.

Unafanya mambo yako ya kishua huku unajichanganya kwenye mambo yao kama kununua vitu,chakula na vitu vya kawaida kwenye mtaa wako,uwe na Boda mtaani wa kumtumia. Unawapa habari zako baadhi,unaruhusu watu wakozee Kwa mipaka yako.
Yani umpe chance mswahili akuzoee sindio atakumaliza kabisa. Hao wako tofauti ki lifestyle na watu ambao ni exposed.
 
Kama bado hujaolewa tafadhali njoo PM nina kijana wangu pia hana mke ila yeye anajielewa sana.
Karibu kwenye familia yetu.
Bwana wa kutafutiwa simtaki.!!
Mi napenda kudanganywa kwanza hata km najua hapa naingizwa chaka..!!
Mnipe ndugu yenu km kifurushi hapana.!!
Mnanipa kumbe kila mwisho wa mwezi kichaa kinapanda Akhu!
 
Jirani jtatu tuanze novena safari hii hakuna kucheat, nakujua ww kwa visingizio ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Week end hii hakuna kumoka jiandae na novena na ntakuwa nakukumbusha, sasa ole wako uje useme sijui โ€œnilipata mgeni wa kike jiraniโ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa jirani nikipata mgeni nisimkirimu?
Sijafundishwa hivyo ๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom