Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
MnyakyuNa wewe Mkinga?
MnyakyuNa wewe Mkinga?
Ee. Nkamu gwangu. Uponile ifulaMnyakyu
😃😃😃😂😂😂😂😂😂 Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
Ee mwee,jikutima lekaEe. Nkamu gwangu. Uponile ifula
Ww mnyaki kumbe 🤣🤣Ee. Nkamu gwangu. Uponile ifula
Eee. NdagaEe mwee,jikutima leka
Hiiiiii. BagoshaWw mnyaki kumbe 🤣🤣
DJ ally b anakuambia atakomaa nao tu hao maskini ataishi miongoni mwao tu licha ya kurogwa na kusemwa vibaya. Anasema aende atambe wapi? Aende kuringishia wapi ni humohumo kwa maskini huwezi kwenda Dubai ama London kutamba.Kama unajenga Kajenge kwa sehemu watu wenye uwezo hutasikia kelele !!
Ila ukitaka songombingo jenga mahali kwa masikini Ndipo utaelewa
Ningekuwa naitwa uncle zulu sasa hivi..😂😂😂 Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
Rudisha avatar picha yako ya awali tuliokuzoea umevaa kofia kwa nyuma.Maskini mchana hatuna ujanja mchana matajiri mnatuoshea sana na gari zenu na party za hapa na pale kwahiyo ulitaka na usiku tusiwe na ujanja? Yani tutulie tu?
Tulia upelekwe shambani ukalime night kali
🙏🏽Eee. Ndaga
Uncle kwa kijana asiye na mbele wala nyuma??Ningekuwa naitwa uncle zulu sasa hivi..
Yaan huo uchawi waliokufanyia naunga mkono 100% ila kwa kujiona binti unashindwa kutupa furaha kaka zako.🤣
Njoo babati upigwe msumari wa BATI ndio kauli mbiu ya vigagula wa kiiraq.Karibu Moshi, Arusha & Babati huwez skia hayo mambo
Ile nilichange avatar bahati mbaya ikapotea alafu sijui ntaipatia wapiRudisha avatar picha yako ya awali tuliokuzoea umevaa kofia kwa nyuma.
Hii ya Craig David itatuchukua mda kuzoea.
Kusini sio sehem ya kuishi, makabila ya huko USIYAZOEEHuko kusini unaambiwa mtu analoga shamba lako la mikorosho wakati yeye hana hata shamba lenye mkorosho mmoja !
Babati maeneo gn😂kaa mjini weweNjoo babati upigwe msumari wa BATI ndio kauli mbiu ya vigagula wa kiiraq.
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app