Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Maskini hata ujichanganye nao vipi hawazoeleki. Huzuni yako kwao ndio habari njema.

Maskini hawezi kuacha kukuloga wakati anaona wewe watoto wako maisha umewapita, wanaenda shule Kwa school bus, wana uhakika wa kula milo yote, wanavaa wanachohitaji, unakaa nyumba nzuri wakati wao nyumba za udongo ama wanabanana kwenye nyumba za kupanga.

Kwa hapa dar, maeneo yote ya uzaramoni huwa kuna maskini kiwango kikubwa sana kuishi nao ni kupambana nao kikamilifu.

Mi nimejenga na kuishi uswazi mpaka heshima inakuja mapambano sio ya kitoto. Inafikia hatua unaacha unyonge na kupambana nao Kwa angle zote wanazozijua wao na unawapiga juu chini, usiku mchana, mvua na jua.

Maskini watakerwa hata kuona watoto wako wana afya kuliko wa kwao, hapo watawaroga ili wafe ama wadhohofike
Aisee katika vita ambazo siziwezi ni za kupambana kwa waganga kurogana. Option kwangu ni kuhama tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom