Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,083
- 82,773
😂🤣😁😁😁😁Mama alitaka kujimix kwa mkinga mchawi 🤣🤣🤣
Huyo kijana mwenyewe chogo km behewa za Mwakyembe
😂🤣😁😁😁😁Mama alitaka kujimix kwa mkinga mchawi 🤣🤣🤣
Huyo kijana mwenyewe chogo km behewa za Mwakyembe
Wee muongo😂😂😂 Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
mimi bibi yangu mbona mchawi anaiba kwenye maduka makubwa na hata benki yupo vyema tu kiuchumiSisi masikini kwanza ni wachawi na maendeleo hatupendi. Mtu akijaribu kufanya maendeleo anakuwa ametudharau na anageuka kuwa adui. Kwanini sasa unafanya fanya maendeleo na umekuta sehemu hamna maendeleo? Unajikuta nani kwa mfano? Lazima tukuroge tu.
hizi elf 5 za maji na umeme zinatugombanisha sana sisi maskini
Tanga nako kuna uchawi?? 🤣🤣🤣Wee muongo
Mimi nitakupiga zongo la buku tano tu
Wewe ni tajiri?
Roho mbaya haijalishi Masikini au Tajiri.
Ndiyo nakiliSAWA LAKINI JE UNAKILI KWAMBA YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO
Sanamasikini imezidi nadhan kutokana na kukosa hata kama mtu alikua mtu mzuri chuki wivu na roho mbaya huwa inazaliwa
Kulipokucha hukumgongea kumuuliza yaliyojiri jana?? 🤣😂Jana usiku naangalia dirishani namkuta jiran uchi ana wanga kwene mpaka wangu !!
sijui ndo mganga wake kamtuma
Bibi yako ni mchawi aliyesoma labda. Sisi hatuna shida ya hela, ila pia hatutaki watu wazipate. Yaani ni tuwe maskini wote ndio furaha yetu.mimi bibi yangu mbona mchawi anaiba kwenye maduka makubwa na hata benki yupo vyema tu kiuchumi
joke, wachawi wao wanataka kuona sehemu ipo hivo hivo labda kwa kjfikiri kwamba kuleta maendeleo kutaleta hatari ya wao kuendelea kufanya mambo yaoBibi yako ni mchawi aliyesoma labda. Sisi hatuna shida ya hela, ila pia hatutaki watu wazipate. Yaani ni tuwe maskini wote ndio furaha yetu.
Unawajua wanguu?Tanga nako kuna uchawi?? 🤣🤣🤣
Hilo zongo nalirudisha linakuja kukupiga mwenyewe
Umejenga kwa masikini wanakuchukia, aidha wewe ni masikini mwenzao mwenye roho mbaya au tajiri. Kama tajiri hama huko nenda kwa wenzio hutapata shida.we wasema!!
Wewe mdada haujaolewa bado ?[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
Mbona comment yako imenifokea sana.??
Unawajua wamambwe.??Unawajua wanguu?
Hapana sijafoka.Mbona comment yako imenifokea sana.??
Vipi kwema?? Eeee! Sijaolewa bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wanaishi bondeni hawanitishiUnawajua wamambwe.??