Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

Huku zanzibar kuna shamba la Mwinyi, Gharib bilal, Na viongozi wengine, nashamba haya ni kizimbani huku, pia mkapa anamahoteli zanzibar, kwa mujibu wa katiba ya zanzibar lazima uwe mzanzibari ndio umiliki ardhi, jee mkapa ni mzanzibari?
 
Ndio maana wanaung'ang'ania Muungano kwa nguvu zote kumbe wamewekeza tena kwa kukiuka sheria.
 
siwezi kuwa sawa na kichaa mimi
Kwikwikwi unatoa mapovu mengi sana kama umemeza sabuni ya komesha.

Wewe naona ni mshamba sana hujui social network zinatumikaje. Kusema kweli sikulaumu kwa sababu huna exposure.
 
Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.

Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.

Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.

Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.

Karibuni tuisaidie serikali.

Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.
kwani hamyajui mpaka mtake tuwataje hapa. mnatuzingua mnayajua mashamba yenu na viongozi plus watumishi mliopeana mashamba na viwanja bila kuviendeleza
 
Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.

Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.

Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.

Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.

Karibuni tuisaidie serikali.

Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.

Nyerere - gezaulole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom