Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,753
- 165,265
Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.
Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.
Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.
Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.
Karibuni tuisaidie serikali.
Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.