Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

Mbowe Boma Ng'ombe Moshi
hahahahah hivi wilaya ya Hai au tuseme mkoa wa Kilimanjaro unaweza kuwa na maeneo makubwa kiasi hicho kwamba mtu asiendeleze! au unamtania Mbowe na shamba lao la ukoo?! tehe tehe tehe tehe. Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo sana haiwezekani kuwa na maeneo makubwa ambayo hayajaendelezwa😀 halafu Bomang'ombe haiko Moshi iko wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro
 
Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.

Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.

Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.

Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.

Karibuni tuisaidie serikali.

Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.

Kwa kweli kwa nchi kama yetu hii ya TZ sijaona sababu za kufuatilia mashamba ambayo bado hayajaendelezwa...bado hatujafikia huko...na hakuna haja ya serikali kugombea mashamba na wananchi....Ukisafiri utaona nchi yetu ina mapori kibao, unaweza ukapita katika mikoa mbali mbali ukiwa na usafiri wa barabarani ukakuta kijiji hadi kijiji ni urefu mkubwa sana.
Huko ndiko kwa kuendelezwa....

Labda tuu ambacho ningependekeza serikali ingefanya wale wenye mashamba ambayo yamekaribia na mijini yaani miji ishasogea basi waambiwe wamiliki wagawe na wauze viwanja kwa kufuata utaratibu wa serikali ila si kuwanyang'anya...Aridhi bado kubwa sana tunayo haijafikiwa na wananchi...
 
Huku zanzibar kuna shamba la Mwinyi, Gharib bilal, Na viongozi wengine, nashamba haya ni kizimbani huku, pia mkapa anamahoteli zanzibar, kwa mujibu wa katiba ya zanzibar lazima uwe mzanzibari ndio umiliki ardhi, jee mkapa ni mzanzibari?

hapana, yeye sio mzanzibar, ila anaweza kumiliki ardhi huko na msimfanye lolote.
 
Shamba la Mukapaa -Handeni ,ekari 70

Shamba la Ki-kuete ,Bwagamoyo eka 280,Msata 50,Fukayosi 50,Chalinze 50,

Mashamba ya Rizimoko hayana idadi kila mkoa
Mkuu
Pale ilala kuna jengo na eneo kubwa kachukua mke wa mkapa na kufanya apartments, sijui kama kulifanyika taratibu sahihi za ununuzi, majengo yale yalikuwa ya wakaazi wananchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom