Juma Panyarodi MbegeJean Pierre Mkulu bila shata atakuwa bwana Julio Punda Maharage.
Alisema mkachukue.....Shamba la Lowasa Monduli
Sasa na yeye si aliuze [emoji206] kweliShamba la Sumaye Mabwepande
LowasaaaaaaaaaaaShamba la Lowasa Kilombero Morogoro
Ndo nanKuna shamba kubwa sana Maeneo ya Pwan la aliyekuwa .......mstaafu mzee Tiba uighanah
Mbona langu hamlitaji chato oohMbowe Boma Ng'ombe Moshi
KonyoLipo eneo la upande wa kushoto. Kaskazini
Sijui yule kamanda.Ndo nan
Mkuranga sehemu gani mkuuJaman acheni wivu MKURANGA kuna mashamba laki 5 kwa heka Moja
Njooni huku maana baada ya miaka 20 yatakuwa million 100
Kuna wanavijiji walilalamika sana, uzi upo JF Mkapa alijitwalia shamba kumbwa Tanga. Kuliendeleza lazima atakuwa aliliendeleza kwa kutumia Anaben na Kiwira & co.Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.
Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.
Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.
Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.
Karibuni tuisaidie serikali.
Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.
lakin ninyi zamani mlikuwa mnamuita sumaye fisadi kwa kujimilikisha mashamba makubwa.. eti kadhulumu ardhi ya watu wengine.. iweje leo wanayarudisha kwa wananch mnasema ni chuki???Mashamba ya Sumaye yameendelezwa. Kinachofanyika ni fitina za chuki binafsi za kuhama CCM.
Umechanganya ni shamba la ......... Kilombero sio Lowasa!! Ongea ukweli.Shamba la Lowasa Kilombero Morogoro
Duh!Hatari sana hii!Kikwete anashamba mvomero
Mkapa ana shamba mvomero
Hood anashamba mvomero
Abood pia anashamba mvomero
Na mgogoro wa ardhi wa wilaya ya mvomero umesababishwa na viongozi wetu kujimilikisha maelfu ya heka za ardhi