Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

Ndio Shamba Lake Afu Hata aliendelezi

Na chakushangaza zaidi wanataka viongozi wa upande mmjo utadha na huo upnde mwingine hawamiliki mashamba.

Alafu kumiliki shamba sio tatizo hasa ukizingatia hawa ni watanzania.
Mbona mashamba wanayo miliki wageni na watanzania wamefukuzwa hawazungumzii.
 
Tatizo Tunatawaliwa na Siasa za Chuki
 
Salary Slip juzi nilikua na tukio pale Moreno Hotel, Jirani na pale kuna kiwanja kikubwa ambacho hakijaguswa kuuliza nikaambiwa mmiliki wake ni Lukuvi. Naomba MTU ambaye Unaweza kufuatilia atuambie ukweli kama kweli ni chake
Tuanze kuwalipua tu hata kama watalindani lakini dunia itakuwa imejua na wataishi kwa aibu.
 
Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.

Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.

Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.

Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.

Karibuni tuisaidie serikali.

Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.
Mashamba ya Sumaye yameendelezwa. Kinachofanyika ni fitina za chuki binafsi za kuhama CCM.
 
Mstaafu aliedhurumu Lushoto mpaka Leo watu hawajalipwa fidia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom