Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,772
- 165,406
- Thread starter
- #41
Ni wanafiki sana hawa watu.Mstaafu aliedhurumu Lushoto mpaka Leo watu hawajalipwa fidia!
Ni wanafiki sana hawa watu.Mstaafu aliedhurumu Lushoto mpaka Leo watu hawajalipwa fidia!
Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.
Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.
Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.
Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.
Karibuni tuisaidie serikali.
Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.
Hebu fafanua mkuu maana sijakuelewa.Mkuu mkapa ana zaidi ya ekari 300 napinga na hakuna kitu zaidi ya ngombe 50
Ndio kamwe siwezi kumuombea fulani kwasababu ya kuwa mnafiki.Shamba la mzee ruksa, lipo msalato dodoma, kwa sasa limekuwa pori licha ya kuwa km chache tu toka city centre
Kuna shamba la mzee wa kiwira lipo tanga(handeni),shama la mzee ruksa lipo mkuranga,shamba la mzee wa msoga lipo bukoba(misenyi),shamba la jean pierre mkulu lipo mwanza maeneo ya machinjio juuSasa wewe umeanza na shamba gani.. au umepuliza upupu tu mwenyewe uko kando..!?
kweli kabisa,hata sumaye anaweza kuomba tafsiri ya mahakama kwenye suala hili.hoja nzuri, shida inakuja definition ya shamba hisiloendelezwa ni lipi ?
Haya yote hawayaoni isipokuwa la Sumaye tu!!Shamba la Mark Bomani Goba
Anazo 300 na hazijaendelezwaHebu fafanua mkuu maana sijakuelewa.
Ana ekari 300 lakini anafugia ng'ombe 50 tu au unapinga maneno kuwa Mkapa ana ekari 300?
Jean Pierre Mkulu bila shata atakuwa bwana Julio Punda Maharage.Kuna shamba la mzee wa kiwira lipo tanga(handeni),shama la mzee ruksa lipo mkuranga,shamba la mzee wa msoga lipo bukoba(misenyi),shamba la jean pierre mkulu lipo mwanza maeneo ya machinjio juu