Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

Shamba la Mukapaa -Handeni ,ekari 70

Shamba la Ki-kuete ,Bwagamoyo eka 280,Msata 50,Fukayosi 50,Chalinze 50,

Mashamba ya Rizimoko hayana idadi kila mkoa
 
Shamba la Mukapaa -Handeni ,ekari 70

Shamba la Ki-kuete ,Bwagamoyo eka 280,Msata 50,Fukayosi 50,Chalinze 50,

Mashamba ya Rizimoko hayana idadi kila mkoa
Lukuvi hawa sijui utawaweza au utaishia tu kupitia mafaili yao.
 
Mashamba ya Sumaye Hanang na Karatu.
Shamba kubwa (kijiji) la Lowasa Ngaramtoni na Makuyuni.
 
Mbona Mashamba chamtoto. Issue kubwa Lugumi, escrow, gsm company etc
 
Salary Slip juzi nilikua na tukio pale Moreno Hotel, Jirani na pale kuna kiwanja kikubwa ambacho hakijaguswa kuuliza nikaambiwa mmiliki wake ni Lukuvi. Naomba MTU ambaye Unaweza kufuatilia atuambie ukweli kama kweli ni chake
na hiyo ni kama kweli mm npo dodoma na anahotel yake lukuvi maeneo hayo hayo kesho naweza kuipga picha nikatupia humu ndani
 
Naomba yeyote mwenye kujua kuwa kuna kiongozi fulani anamilki shamba/ardhi kubwa pasipo kiuendeleza atutajie jina la kiongozi huyo na atueleze shamba hilo liko wapi na kama anajua ni la ukubwa gani atueleze pia.

Taja bila kujali cheo chake awe madarakani au awe ameshastaafu, awe Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,Waziri,Mbunge,Katibu Mkuu,n.k.

Ya Sumaye tumeshayasikia sasa tunataka kujua na ya wengine maana siamini kama ni yeye tu.

Maadam tumeamua kufukua makaburi,basi kila kaburi liguswe.

Karibuni tuisaidie serikali.

Uongo na uzushi hapa unaweza kukugharimu.
Lowasa nafco hanang
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom