Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani - USAID.
Chini ya makubaliano hayo, Marekani itaipa Kenya dola bilioni 1.6 katika kipindi cha miaka mitano ili kushughulikia masuala ya afya ikiwa ni pamoja na kupambana na VVU na malaria na kuzuia polio. Kenya itachangia dola milioni 850 nyingine kwa makubaliano ya kuyachukua majukumu mengine zaidi hatua kwa hatua.
Ruto alisema makubaliano hayo yatachangia vipaumbele vya Kenya ikiwemo kununua vifaa vya kisasa kwa ajili ya hospitali na kuimarisha nguvu kazi kwenye sekta ya afya.
NOTE: Kuna nchi ambayo wananchi wake wanabebeshwa mzigo wa mkubwa wa gharama za afya wakati kula yao ni shida. Inasikitisha sana.
"Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya – DW – 05.12.2025" Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya – DW – 05.12.2025