Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya

Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya

Upo sahihi. Mwinyi anafanya makubwa Zanzibar ambayo watangulizibwake hawakufanya. Tanganyika tumepata hasara.
Mwinyi ndiyo angekua Raisi naamini mambo yangeenda vizuri na vurungu zisinge tokea
 
Upo sahihi. Hasara kwa Tanganyika.
Haya Mauaji angekua katakana Magufuli angeshambuliwa na Wakina Kinana, Makamba, Nyarandu, Na wastaafu, lakini Mauaji layaway huyu fisado mwenzao wapo kimya Mungu kawaumbua walimuona Magufuli mkatili na muuaji mwusho wa siku wao ndiyo Dunia imewaona ndiyo wauaji wa kubwa.
 
Nchi hii ni bora kuhama tu maana kwa hali hii na aina ya viongozi tunaenda kupigika vibaya sana

We are goin down!

NB:Who are you guyz viazi!
Kama una uwezo right now peleka familia nje for now
 
Huyu anayewauliza wazungu who are U ataendelea kula kwa. macho tu, analeta jeuri
Hizi jeuri zilifanya Kenya ikatuacha gap kubwa kwenye thamani ya fedha baada ya EAC kuvunjika na sasa watatupiga gap kubwa zaidi kwani wao ni business as usual, Nairobi inazidi kuwa na uwekezaji hasa kwenye high-tech enterprises na inazidi kupaa kama Silicon valley ya Africa huku TZ serikali haramu ya Samuya ikizidi kutuma polisi kulawiti watoto, kuwateka na kuwaua.
 
Back
Top Bottom