Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Kwahiyo wewe una akili ya vita kuliko MOSSAD na CIA?
Kwa taarifa yako unazo zinaja hapo juu ni Intel Agencies siyo wanajeshi,kama huwezi kutofautisha baina ya tasisi hizo mbili who can take you seriously!!
Pia China amempa Air defense system zake Iran.
Kwahiyo Iran ana multiple Air defense systems kutoka China, Russia na zake yeye mwenyewe.
Hapo Iran itakuwa na at least three layers za Air Defense Systems kama watajipanga vizuri - I know Iranians gotta them sharp BRAINS.
 
Kwa taarifa yako unazo zinaja hapo juu ni Intel Agencies siyo wanajeshi,kama huwezi kutofautisha baina ya tasisi hizo mbili who can take you seriously!!

Hapo Iran itakuwa na at least three layers za Air Defense Systems kama watajipanga vizuri - I know Iranians gotta them sharp BRAINS.
Yeah na pia Wana Bavar ambazo ni nzima.
 
Loh!! Hapo naona patachimbika kweli kweli nina uhakika hata B-2 Bomber lita kuwa swept from the sky like flies😁
Yani kama isingekua Mossad kufanya shambulizi la ndani dhidi ya ADS za Iran, basi hakuna kitu Israel angefanya kwa Iran.
Ile internal sabotage ndio iliwadhoofisha Iran kiulinzi wa anga.
Nahisi walisoma uwezo wa Bavar-373 mwaka jana Oktoba.
Israel ilishambulia kwa f35 hizo hizo ila haikuthubutu kuingia ndani ya anga la Iran na shambulizi lilikua 90%+ contained.
 
Kwa jinsi Israel alivuochapika hadi akamuomba basha wake USA amuombee amani sidhani kama anaweza kurusha hata jiwe kwa Iran, akijaribu safari hii Israel inageuka majivu
Kwa upumbavu huuu, ndio unaowafanya wapalestina wajute na kukimbia kimbia wakiomba chakula
 
Kwa upumbavu huuu, ndio unaowafanya wapalestina wajute na kukimbia kimbia wakiomba chakula
Endelea kupiga mdomo ila Netanyahu hawezi kurusha hata mchanga kwa Iran , anajua jinsi alivyoteseka kuishi kwenye mahandaki mshamba wewe
 
Namna ulivyoiwasilisha tu hoja yako, inaonekana kichwani kumepungua. Wenye akili timamu huwa hawaandiki vioja kama ulivyofanya. Jifunze namna ya kuchangia hoja kama mtu mwenue utimamu kichwani.
Kununa kwako haitamsaidia Israel kuepuka kichapo
 
Ufadhili wa ugaidi, hawa magaidi wote wakubwa duniani, vile vikundi vikubwa vya ugaidi kama HAMAS, HOUTH, HEZBOLAH n.k mfadhili wao mkuu ni Iran.

Sasa wewe jiulize mfano HAMAS walimuulia nini yule Mtanzania? Kijana akawa mpaka anawaomba msamaha analia wasimuue ila wakamuua. Yule kijana ana nini anakijua kuhusu ugomvi wao na Israel hadi wamuuwe.

Yeyote anayefadhili ushenzi kama huu anapaswa kuangamizwa. Sasa Iran anataka amiliki Nuclear, akimiliki Nuclear ni hatari kwa dunia tena sana. Israel yeye hataki Iran amiliki Nuclear sababu Iran alishaapa kuifuta Israel ktk uso wa dunia. So anahakikisha Iran hamiliki hizo silaha.
Sio kweli Iran ana fadhili hayo makundi, uchumi wa Irani hauwezi kuhumili mambo yote hayo.
 
Hasa BRICS, maana kinachoonekana ni kutaka kuivunja nguvu BRICS,leo vikwazo vimetembea kwa india na Brazil, wakati huohuo pakistani katongozwa na marekani kwa dili la mafuta
Nilisoma sehemu uchanganuzi namna BRICS ilivyoishika pabaya marekani ila marekani anajikaza kutoa mlio
Mwanzo nchi za magharibi notably USA hawakutegemea kwamba BRICS inaweza kuwa tishio kwao, waliichukulia poa SANA, wamekuja kushtuka baada ya kuona BRICS community inaweza kuwa tishio kwa Dollar siku za usoni ie kadri miaka zinavyo kwenda, sasa ndio maana wanatafuta mbinu kuhujumu BRICS.
 
Yani kama isingekua Mossad kufanya shambulizi la ndani dhidi ya ADS za Iran, basi hakuna kitu Israel angefanya kwa Iran.
Ile internal sabotage ndio iliwadhoofisha Iran kiulinzi wa anga.
Nahisi walisoma uwezo wa Bavar-373 mwaka jana Oktoba.
Israel ilishambulia kwa f35 hizo hizo ila haikuthubutu kuingia ndani ya anga la Iran na shambulizi lilikua 90%+ contained.
Ukiachana na ndege, Ina maana Israel ingeamua kuishambulia Iran kwa makombora(ballistic missiles) yote yangezuiliwa?
 
Back
Top Bottom